FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tamasha hili huandaliwa maalum kabisa kwa ajili ya wanafunzi wa 'high school seniors / juniors' ambao wanamaliza shule na hivyo hukusanyika kama njia moja wapo ya kuagana na kupongezana.
Katika hatua za awali za Tamasha hili huanza kwa kupiga picha za pamoja baina ya marafiki na wapenzi wanaomaliza shule pamoja na kusaini 'year books', pia huusisha uchezaji wa dansi/disko baina ya wanafunzi na wapenzi wao hapo shuleni.
Matamasha mengi japo si kwa utaratibu, baada ya muda wa kawaida kuisha, basi wanafunzi hushughulika na unywaji pombe wa kupitiliza na baada ya kulewa ipasavyo, wale ambao wanakuwa wameapa kutoa bikra zao siku hiyo, wavulana kwa wasichana, huwa wanakamatana pair kwa pair na kutafuta chobingo ambapo hutoana bikra kwani wengi huona aibu kwenda 'college' wakiwa bado 'watoto'.
Vijana wengi sana husubiria tukio hili kwa hamu kubwa sana ila inasemekana unywaji pombe kupita kiasi hupelekea drink driving na hivyo wengi kupoteza maisha katika ajali za barabarani, hivyo wazazi huombwa kuchukua tahadhari.
From Shithole USA