Ifahamu PROM NIGHT, tamasha kubwa la kutoana bikra linaloandaliwa mashuleni kila mwaka huko Marekani

Ifahamu PROM NIGHT, tamasha kubwa la kutoana bikra linaloandaliwa mashuleni kila mwaka huko Marekani

Tamasha hili huandaliwa maalum kabisa kwa ajili ya wanafunzi wa 'high school seniors / juniors' ambao wanamaliza shule na hivyo hukusanyika kama njia moja wapo ya kuagana na kupongezana.

Katika hatua za awali za Tamasha hili huanza kwa kupiga picha za pamoja baina ya marafiki na wapenzi wanaomaliza shule pamoja na kusaini 'year books', pia huusisha uchezaji wa dansi/disko baina ya wanafunzi na wapenzi wao hapo shuleni.

Matamasha mengi japo si kwa utaratibu, baada ya muda wa kawaida kuisha, basi wanafunzi hushughulika na unywaji pombe wa kupitiliza na baada ya kulewa ipasavyo, wale ambao wanakuwa wameapa kutoa bikra zao siku hiyo, wavulana kwa wasichana, huwa wanakamatana pair kwa pair na kutafuta chobingo ambapo hutoana bikra kwani wengi huona aibu kwenda 'college' wakiwa bado 'watoto'.

Vijana wengi sana husubiria tukio hili kwa hamu kubwa sana ila inasemekana unywaji pombe kupita kiasi hupelekea drink driving na hivyo wengi kupoteza maisha katika ajali za barabarani, hivyo wazazi huombwa kuchukua tahadhari.

From Shithole USA
Ina uhusiano na katazo alilopewa makonda kwenda kwao ?
 
Ni lengo la washiriki kutoana bikra, unabisha nini sasa?!
Siyo lengo la waandaji. Hivi kwani mkesha wa mwenge uwa una lengo la watu kulewa na kufanya zinaa? Maana mwaka juzi ilisemekana kule kilimanjaro wanafunzi walibakwa sana wengine kwa kuogopa mimba walliomba wafanywe nyuma. je ndiyo lilikuwa lengo la mkesha wa mwenge na mara zote uwa inakuwa hivi kila mwenge unakopelekwa
 
Lakini siyo lengo la waandaaji wa hilo tamasha. We unadhani lengo la kuumbwa na sehemu za siri llilikuwa ukaifanyie zinaa?
Ni sawa na mkesha wa mwenge, lengo si kufanya ngono usiku. Lakini ngono zembe za mkesha wa mwenge ni mimba zake si mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo lengo la waandaji. Hivi kwani mkesha wa mwenge uwa una lengo la watu kulewa na kufanya zinaa? Maana mwaka juzi ilisemekana kule kilimanjaro wanafunzi walibakwa sana wengine kwa kuogopa mimba walliomba wafanywe nyuma. je ndiyo lilikuwa lengo la mkesha wa mwenge na mara zote uwa inakuwa hivi kila mwenge unakopelekwa
Mimi nimekwambia ni lengo la washiriki, wewe unasema waandaji kweli? unataka kujifanya una mtindio wa ubongo sio..
 
Mimi nimekwambia ni lengo la washiriki, wewe unasema waandaji kweli? unataka kujifanya una mtindio wa ubongo sio..
Haa kwaa hiyo washiriki wa mkesha wa mwengo lengo lao ni kulewa na kufanya ngono, So utaweza andika kichwa cha habari mkesha wa mwenge, tamasha la ngono na ulevi??? itakuwa sawa?
 
Haa kwaa hiyo washiriki wa mkesha wa mwengo lengo lao ni kulewa na kufanya ngono, So utaweza andika kichwa cha habari mkesha wa mwenge, tamasha la ngono na ulevi??? itakuwa sawa?
Mimi naongelea PROM NIGHT wewe unasema Mwenge kweli? Unataka kujifanya mwendawazimu sio..
 
Mimi naongelea PROM NIGHT wewe unasema Mwenge kweli? Unataka kujifanya mwendawazimu sio..
Ni mifano inayoedana maana lengo la tamaasha linatoka kwa muandaaji si anayeudhuria. Sasa wewe umehitimisha kwa kusema uongo over hilo tamasha ndilo lengo lake hilo la kutoana bikra
 
So wasio na bikra huwa hawashiriki hilo tamasha?Wasio na wapenzi huwa hawashiriki?Je,wote wanaoshiriki huwa wanafanya ngono siku hiyo?
Mimi nadhani si kweli kutumia lugha ya jumla!
 
Ni mifano inayoedana maana lengo la tamaasha linatoka kwa muandaaji si anayeudhuria. Sasa wewe umehitimisha kwa kusema uongo over hilo tamasha ndilo lengo lake hilo la kutoana bikra
PROM NIGHT ni ya wanafunzi..., Mwenge ni ya shule gani?
 
PROM NIGHT ni ya wanafunzi..., Mwenge ni ya shule gani?
Nilisoma mazengo sekondary,nakumbuka kipindi cha mahafali tulikuwa tunaletewa watoto wa kike kutoka msalato kucheza nao disco!Ila utamaduni wa shule hizo kualikana kwenye shughuli hizo,wenye uchu na papuchi tulitumia fursa hiyo kutongoza na kula mizigo!Japo lengo la kukutanishwa ilikuwa kurefresh na kubadilishana mawazo ila wengine tulitumia fursa!
Kwa mazingira kama hayo haiwezekani ije kauli ya jumla kuwa ni siku iliyoandaliwa kwa ajili ya kubanjuana!
 
Back
Top Bottom