Ifahamu PROM NIGHT, tamasha kubwa la kutoana bikra linaloandaliwa mashuleni kila mwaka huko Marekani

Hilo sio lengo la Prom Night, But Ni matukio tu yanayotokea kutokana na akili za mwanafunzi wenyewe kutaka kufanya hayo. Ukichangiwa zaidi na msukumo wa umri kiteenager kutaka kujaribu kila kitu.

Lengo la Prom ni kuagana Kama wanafunzi ndio Maana hata wazazi hubariki na kuruhusu watoto wa kwenda.

Unadhani mzazi gani angeruhusu Mtoto wake kwenda Kama lengo lingejulikana Ni kushiriki Ngono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyu jamaa ashakariri majibu yake, hivyo mkienda kinyume naye lazima awehuke. Kubali kueleweshwa na kujifunza pia huo ndio ukomavu wa GT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo haiwezi kufanya kazi tanzania.vitoto vya darasa la tano Ni haba kukutaa vina bikiraa ....
 
Ila ndio lengo la washiriki...,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…