Ifahamu sayari ya Jupiter

Ni kweli,lkn rejea kwenye issue kuu ya planets to rotate.

Hahahah, all planets in our solar system rotates. Hata jua letu lina-rotate kwenye muhimili wake. Tukubali kutokubaliana mkuu....!
 
Ifahamike kuwa kwenye sayari ya Jupiter hakuwezekani kwa binadamu kuishi kwa mujibu wa uchunguzi uliopo sasa,lakini wanaanga wanaanga wengi duniani wamekubaliana kuwa kwenye mwezi wake Europa kuna uwezekano wa binadamu kuishi kwa vile kuna mazingira wezeshi, na kunasemekana kuna kiwango kikubwa cha maji kikubwa kuzidi au sawa na ya duniani ila kwa juu yamefunikwa na barafu nzito na ngumu mpaka kuyafikia,hebu ingalia hizi picha.
 
Nimeazima kitabu cha mwanangu wa darasa la tano kinaniambia ukubwa wa jupita ukiugawanya mara kumi na moja ndio unapata ukubwa wa dunia.
Nimemwuliza na yeye amesema dunia inaingia mara 11 na pointi kadhaa kwenye jupita, sasa ninyi mnaniambia inaingia mara 1000+; hapo nazidi kuchanganyikiwa.
 

Kuna ishu ya ukubwa (volume) na uzito (weight). Kwa ukubwa, unahitaji zaidi ya dunia 1000 kuijaza Jupiter. ila kwa weight Jupiter ina density ndogo kwa sababu ni gas giant. Check vizuri na mwanao
 
Ngoja niwaite Monstgala Kifyatu na wengine nisiowataja wote karibuni munaoyajua zaidi kwa undani muje kutililika.
 
Kuna ishu ya ukubwa (volume) na uzito (weight). Kwa ukubwa, unahitaji zaidi ya dunia 1000 kuijaza Jupiter. ila kwa weight Jupiter ina density ndogo kwa sababu ni gas giant. Check vizuri na mwanao
Umemjibu sahihi kabisa.
 

Unahitaji kupanga dunia 11 across equator ya Jupiter, hii ina maana kwamba diameter ya Jupiter ni mara 11 ya ile ya dunia. Sasa jaribu kutafuta volume difference. Angalia vizuri formula ya volume ya sphere, diameter inakuwa cubed...
 
Milky way sio solar system,ni sehemu ya galaxy lenye solar systems kibao. Kwenye milky way kuna mamillion ya sayari (planets).
"Milky way ni sehemu ya Galaxy yenye solar systems kibao"

Seriously?
 
Nataka kujua je ndege zinapita katika atmosphere zipi? Na ni kwa nini,?
 
"Milky way ni sehemu ya Galaxy yenye solar systems kibao"

Seriously?

what? in-fact sio tu kibao, ni billions of stars (which makes solar systems), or at least 300 billions planets including our lovely planet earth
 
Naomba kujua universe ina hali ya namna gani?ubaridi au joto afu ndo turudi kujua kama dunia inaelea ktk universe kwanini haiwi na hiyo hali?ya ubaridi au ujoto all the time
 
Naomba kujua universe ina hali ya namna gani?ubaridi au joto afu ndo turudi kujua kama dunia inaelea ktk universe kwanini haiwi na hiyo hali?ya ubaridi au ujoto all the time
Joto la wastani la ulimwengu huu ni dogo sana kama -272C au 3K
 
Mkuu nafikiri "universe" ndio moja tu ambapo ndani yake kuna magalaxy kibao likiwamo hili la kwetu milk way,andromeda na mengineyo...
 
Hapo hapo navoelewa mimi kujizungusha kwenye mhimili ndo kunaleta usiku na mchana huko kwenye kuzunguka jua kunaleta majira ya mwaka kwa maana hiyo ndani ya masaa manne na nusu tayari usiku na ndani ya masaa manne na nusu unaingia mchana au?

Ndivyo ilivyo mkuu. Ila hapo kwenye miaka 69 kuwa giza tu na another kama hiyo ni mchana tu hiyo haijalishi. Hapo maana yake ni kuwa kwa hiyo miaka 69 ya usiku tuu ndani yake kuna kuwa na usiku na mchana, halikadhalika na miaka hiyo ya mwanga kuna kuwa na masaa ya usiku na ya mchana despite the light. Ni kama ilivyo kwenye Bara la Antaktika kuna miezi ambayo huoni jua kwa miezi kama sikosei ni sita, inakuwa ni giza totoro usiku na mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…