Njaa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2009
- 1,022
- 412
Ni kweli,lkn rejea kwenye issue kuu ya planets to rotate.
Hahahah, all planets in our solar system rotates. Hata jua letu lina-rotate kwenye muhimili wake. Tukubali kutokubaliana mkuu....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli,lkn rejea kwenye issue kuu ya planets to rotate.
Nimeazima kitabu cha mwanangu wa darasa la tano kinaniambia ukubwa wa jupita ukiugawanya mara kumi na moja ndio unapata ukubwa wa dunia.
Nimemwuliza na yeye amesema dunia inaingia mara 11 na pointi kadhaa kwenye jupita, sasa ninyi mnaniambia inaingia mara 1000+; hapo nazidi kuchanganyikiwa.
Ngoja niwaite Monstgala Kifyatu na wengine nisiowataja wote karibuni munaoyajua zaidi kwa undani muje kutililika.Kwa mtazamo huu huenda upo sahihi, sijui Jupiter ipo tilted kwa kiasi gani. Dunia ipo tilted kwa nyuzi 23 kwenye muhimili wake, hii huifanya poles kuwa na giza mfululizo miezi sita na mchana mfululizo wa miezi kadhaa. Lakini ni sehemu ndogo sana ya poles. Kwenye hemisphere za dunia kuna utofauti wa urefu wa usiku na mchana, ila ni tofauti ya masaa machache tu. Wenye uelewa watupe msaada kuhusu Jupiter please.
Nimeazima kitabu cha mwanangu wa darasa la tano kinaniambia ukubwa wa jupita ukiugawanya mara kumi na moja ndio unapata ukubwa wa dunia.
Nimemwuliza na yeye amesema dunia inaingia mara 11 na pointi kadhaa kwenye jupita, sasa ninyi mnaniambia inaingia mara 1000+; hapo nazidi kuchanganyikiwa.
Dunia ina mwezi mmoja tu!Kumbe kila sayari ina mwezi wake? Hivi dunia ina miezi mingapi?
Kwan Umbali wa kutoka kwenye jua unadetermine vp urefu wa siku?No 9 ina ukakasi hasa ukizingatia iko mbali zaidi na jua, ni kubwa kuliko dunia.nilitegemea iwe kinyume.
Nilitegemea mzunguko wake uwe na speed ndogo sababu kani inayosababisha hayo imeathiriwa na umbali.Kwan Umbali wa kutoka kwenye jua unadetermine vp urefu wa siku?
"Milky way ni sehemu ya Galaxy yenye solar systems kibao"Milky way sio solar system,ni sehemu ya galaxy lenye solar systems kibao. Kwenye milky way kuna mamillion ya sayari (planets).
"Milky way ni sehemu ya Galaxy yenye solar systems kibao"
Seriously?
Milky way sio sehemu ya Galaxy,ni Galaxywhat? in-fact sio tu kibao, ni billions of stars (which makes solar systems), or at least 300 billions planets including our lovely planet earth
Joto la wastani la ulimwengu huu ni dogo sana kama -272C au 3KNaomba kujua universe ina hali ya namna gani?ubaridi au joto afu ndo turudi kujua kama dunia inaelea ktk universe kwanini haiwi na hiyo hali?ya ubaridi au ujoto all the time
Mkuu nafikiri "universe" ndio moja tu ambapo ndani yake kuna magalaxy kibao likiwamo hili la kwetu milk way,andromeda na mengineyo...Asante mkuu, ila ngumu kumeza..., mimi najua kuwa galaxy ni moja tu ambalo ukubwa wake ni infinity, humo ndani wanasayansi wamegawa sub-galaxies hasa kwenye hii observable galaxy. so huwa napenda kuamini kuwa hizi galaxy ndogo ndogo ni sehemu ya galaxy kubwa ambalo wewe Albert Einstein ulisema ni infinity and still expanding at speed faster than that of light (hahahahah)
Mkuu anamaanisha moon au monthsMiezi 12!!!!! January to December
Hapo hapo navoelewa mimi kujizungusha kwenye mhimili ndo kunaleta usiku na mchana huko kwenye kuzunguka jua kunaleta majira ya mwaka kwa maana hiyo ndani ya masaa manne na nusu tayari usiku na ndani ya masaa manne na nusu unaingia mchana au?
Jamaa aliuza miezi sasa sijui which is whichMkuu anamaanisha moon au months