Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

tuma email yaka tuangalie kuna shida gani
Hello, nahtaji kuifuta kwa sababu
1.nmechanganya changanya vyeti. Nlikosea ku upload. Sehem ya academic nimeweka cha professionalism, sehem ya chet cha sekondari, kimekaa kngine, yaan kuna makosa mengi.
2.nina account mbili hvyo nataka zifutwe zote afu nifungue mpya.
 
Nashukuru kwa kujibu swali moja na ufafanuzi.

Naomba niweke sawa, hapa mie nimeeleza maoni na malalamiko ya vijana wengi wasio weza kufika humu JF.
Siyo mie binafsi, I'm redeemed, and I'm free from the shackles of financial slavery, Glory to God.

Hivyo mie sina hofu.

Wale vijana wanaokata tamaa, wale wanaolia kwa machozi, jasho na damu, namanisha hao.

Wengi hawa wanaona recruitment process yenu imekua na changamoto nyingi, mfano nilieleza kwa fani moja ya Computer/IT nikatoa na ushauri lakini siyo fani hii pekee huu nimetoa kama sample.

Hata ushauri sijui kama mnapokea, mana umeleza wako wataalamu wanaoendesha usaili lakini inakuaje wanaacha makosa makubwa ya kiufundi kutokea kama kutumia programming language 6 katika interview, na hata kuwapima wote kwa mtihani mmoja kwa hizo language nyingi?

Mkiamua mnaweza kufanyia kazi maoni yetu humu na kuondoa haya mapungufu.

Lakini kama hamtotaka kubadilika naomba nitoe unabii juu yenu kwa sauti inayolia kutoka nyikani.

Psalms 137: 1-4, 8-9.

1 By the rivers of Babylon we sat down; there we wept when we remembered Zion.
2 On the willows near by
we hung up our harps.
3 Those who captured us told us to sing;
they told us to entertain them:
“Sing us a song about Zion.”
4 How can we sing a song to the LORD in a foreign land?

Psalms 137: 8-9,

8 Babylon, you will be destroyed.
Happy are those who pay you back for what you have done to us —
9 who take your babies
and smash them against a rock.

"Ee binti Babeli, uliyehukumiwa kuangamizwa,
heri yeye atakayekulipiza wewe kwa yale uliyotutenda sisi: yeye ambaye atawakamata watoto wako wachanga na kuwaponda juu ya miamba."

Mnaweza na mnayo nafasi kuepuka hukumu hii hapo juu ni kutubu, ndio kutubu kwenu kuwe kubadilika na kutenda kwa haki.

Amen.
 
Tumefurahi kuwaona humu... tunaomba mtupe ushirikiano kwenye kujibu hoja zetu...
 
Piga simu utasaidiwa au tuma email zinazoonekana kwenye Tovuti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…