- Thread starter
- #21
Acha kunilisha maneno mdomoniHilo ndio nililomaanisha na uzuri huyo jamaa kaja kalijibu wakati mwanzo alilikwepa. Unafikiri wanaokuja kufanya tafiti watatumia gharama zao alafu uchimbaji umpe mwingine, then wao gharama zao za utafiti zinarudishwaje? Hapo ndio nilipomuuliza mwanzo
Hizi kampuni zote zinazokujaa kuwekeza kwenye industry Kama hii hawaji kwa kukurupuka ndio maana unaona hata majadiliano ya LNG mwaka huu tulitafuta kampuni ya nje kusaidia Kushauri
Ulichosema ni kingine na nilichosema ni kingine!