Acha kunilisha maneno mdomoniHilo ndio nililomaanisha na uzuri huyo jamaa kaja kalijibu wakati mwanzo alilikwepa. Unafikiri wanaokuja kufanya tafiti watatumia gharama zao alafu uchimbaji umpe mwingine, then wao gharama zao za utafiti zinarudishwaje? Hapo ndio nilipomuuliza mwanzo
Hizi kampuni zote zinazokujaa kuwekeza kwenye industry Kama hii hawaji kwa kukurupuka ndio maana unaona hata majadiliano ya LNG mwaka huu tulitafuta kampuni ya nje kusaidia Kushauri
HUNA UNACHOJUAHamna kitu huyu chige
Kipengele kipi niende taratibu?!Twende taratibu chige
Wewe nakwepa kukuita mjinga. Nilikuuliza mwanzoni kuhusu utafiti, sikusema lazima apewe kwenye uchimbaji. Swali langu kwako ilikua kuondoa kile umekisema kwenye post yako, uzuri umeshakijibu vile mm nilikua najua.EXACTLY, na ndo maana
Duh!
Hivi huoni hoja yako ni kana kwamba aliefanya utafiti anakuwa guaranteed kuwa LAZIMA ndie atafanya shughuli za uchimbaji?
Basi kumbe unabisha vitu ambavyo hata utaratibu wake HUFAHAMU...
Kwa kukusaidia, achana na kanuni pamoja na sheria lakini tafuta Model Production Sharing Agreement ambayo kwa mujibu wa sheria, wakati PURA wanafanya majadiliano, wanatakiwa kuangalia hiyo MPSA!
Kasome!
Jf nimekuwa nikisema kuna wajinga wengi Sana(ukweli huu), na Kuna werevu wachache sana. Hawa wachache hutumia ujinga wa walio wengi kuingiza na propaganda( Ni sawa kabisa maana mjinga anapaswa kuongozwa).HUNA UNACHOJUA
Hujaisoma Sera, Sheria, MPSA wala Kanuni halafu bila aibu unajigamba kujua mengi!!Jf nimekuwa nikisema kuna wajinga wengi Sana(ukweli huu), na Kuna werevu wachache sana. Hawa wachache hutumia ujinga wa walio wengi kuingiza na propaganda( Ni sawa kabisa maana mjinga anapaswa kuongozwa).
Nakwepa sana kukuita mjinga, sijui Kama napaswa pia kukuita mwerevu.
NB
Ukitaka mjadala na mimi basi hakikisha unajua sana vitu vingi
Uwanja ni wako Chifu, dadavua!Mimi najua gharama zote za uchimbaji gesi ila mabeberu ukiwauliza wanataja gharama kubwa sana ili serikali isithubutu kuchimba
Kuna aina mbili kukodi meli au kusimika plant
View attachment 2438571
Matusi ndo mnachojuaWewe nakwepa kukuita mjinga. Nilikuuliza mwanzoni kuhusu utafiti, sikusema lazima apewe kwenye uchimbaji. Swali langu kwako ilikua kuondoa kile umekisema kwenye post yako, uzuri umeshakijibu vile mm nilikua najua.
Basi kubishana na wewe ni kupoteza mudaNarudia tena, hizo kanuni na Sheria wala hamna haja ya kuzisoma kwa kuwa nazifahamu vizuri tu. Usitake kuwaaminisha watu kuwa kuna maajabu ya Tz kufaidika na gesi. Acha huu ujinga.
Hapa tunajadili Sekta ya Mafuta na Gesi!Wakati wa magufuli, Kuna mtu nilimueleza kuwa hakuna kitu Tz itapata kwenye madini kwa sababu ya umaskini wetu tulionao. Hakuna majadiliano yoyote yatayoleta chochote, tukubali hatuwawezi tena hao.
Maelezo yangu nimeshakuwambia kwa mujibu wa Sheria, Kanuni....Same na kwenye gesi, hakuna kitu Tz itapata sababu ya huu umaskini wetu. Hakuna majadiliano chanya yoyote yatayoleta faida kwa taifa(ukweli huu).
What's your point?!Unaweza vipi kujadiliana na kufaidi kwa mtu ambae anakuamulia maisha yako yaende vipi.
Nimekuambia hizo kanuni zote nazijua vizuri tu.wewe unakazania nikasome, hivyo ndio virojaHujaisoma Sera, Sheria, MPSA wala Kanuni halafu bila aibu unajigamba kujua mengi!!
Unayajuaje hayo mengi ikiwa hata sheria tu huzijui?!
VIROJA HIVI...
Unajua vitu vingi kwa kusikia mitani!
Hakuna nilipotukana.Matusi ndo mnachojua
Basi kubishana na wewe ni kupoteza muda
Hapa tunajadili Sekta ya Mafuta na Gesi!
Maelezo yangu nimeshakuwambia kwa mujibu wa Sheria, Kanuni....
Ukitaka kujadili kwa maelezo ya mitaani, that's not my style
What's your point?!
Huyu chige ni mtu wa ajabu. Ananikazania nikasome kanuni, ikiwa nazijua zote. Yeye anahisi hizo kanuni na sheria zitainufaisha Tanzania.Gesi, mafuta, madini kamwe Tanzania haitonufaika hata siku moja, Magufuli baada ya kujua hilo akapata hasira akaanzisha bwawa la Nyerere
Tangu uanze ni kwamba kila kitu UNAKIJUA lakini kila unachoandika wala hakiakisi huo ujuaji wako!Nimekuambia hizo kanuni zote nazijua vizuri tu.wewe unakazania nikasome, hivyo ndio viroja
Yeye ameanzisha uzi ili sisi wengine tuelimike, sasa kama wewe kuna unachojua huwezi kuchangia bila kupiga vijembe?Unaona sasa ulivyo umeanza kwa kusema wamepewa tafiti tu na sio uchimbaji, alafu hapo unakuja tena kusema hakuna sehemu umesema kwenye uchimbaji hawahusiki, Kama ukimpa mtu exploration na uchimbaji akahusika. Akachimba gesi alafu akakuuzia, hapo utasemaje gesi haijauzwa?
Ofcourse haijauzwa kama vile watu wanavyodhani mkate unavyouzwa, Ila kwa kuwa hatuna uwezo wa kufanya yote hayo hatuna budi kuwaacha wafanye tafiti, wachimbe na watuuzie( sijui sasa Kama hii ni tafsiri ya gesi Kuuzwa).
Katika hili eneo hakuna kitu utaniongopea, amini hivyo kwanza. Alafu ukija kuleta hoja ziwe na mashiko.
Mada ya juzi, sikutaka tu kufanya mjadala uwe mkubwa na kuweka mambo ya watu wengine in public kwa watu wote nawapenda na kuwaheshimu Ila hiyo isiwe sababu ya nyie wachache kuujua ukweli na kuusema alafu humo humo kwenye ukweli mnachomekea na propaganda zenu Kama unavyotaka kufanya hapa.
ACHA KUJITIA UJUAJIHuyu chige ni mtu wa ajabu. Ananikazania nikasome kanuni, ikiwa nazijua zote. Yeye anahisi hizo kanuni na sheria zitainufaisha Tanzania.
Narudia, tunajadili mada ya mafuta na gesi.Nimekueleza vizuri tu kuwa hata Magufuli alikuwa anapoteza muda na yale mapambano yake kwenye madini.
Kwahiyo unatakiwa kufanya majadiliano na nani?!Same na kwenye gesi, huwezi kufanya majadiliano ya faida kwa taifa na watu ambao wanakuamria hata kuishi tu uishi vipi.
Narudia... Acha u-much know, na badala yake kasome MPSA ili uondokane na hicho kiroja chako cha itachukua miaka mingapi!!Watu wamekuja kuwekeza trillion 90 kwenye gesi, unafikiri watakuambia watachukua miaka mingapi kurudisha pesa yao?
Kwahiyo hata kodi haikusanywi, ama?!Kwenye madini hakukua na uwekezaji mkubwa Kama huu wa gesi, Ila bado hatukupata chochote mwaka wa 60 huu
Basi kamwambie babako kwamba "wewe baba, nakwepa kukuita mjinga"!!Hakuna nilipotukana.
Punguza u-MUCH KNOW na kujifanya unajua kila kitu wakati maelezo yako ni ya kutoa kichwani!!Unasema tunajadili mafuta na gesi, kipi special ambacho hatukijui? Au ndio maana ukaleta huu Uzi ukihisi hatujui chochote?
Unarudia yale yale tena na tena....Point yangu ni kuwa, hatuwezi kujadiliana na watu ambao wanaamua hatma ya maisha yetu. Sisi ni wa kuamriwa tu, na hili wala hapaswi kulaumiwa samia na raisi yoyote kwa kuwa ndio mataifa yetu mengi ya huku Africa tuliamua hivyo toka zamani
Anzisha wewe basi uzi [emoji23]Hamna kitu huyu chige
Hawezi kueleza hicho "anachokijua" kwa sababu kilichomjaa ni u-much know tu!Yeye ameanzisha uzi ili sisi wengine tuelimike, sasa kama wewe kuna unachojua huwezi kuchangia bila kupiga vijembe?
Mkuu mpotezee tuu, anakutoa kwenye flow ya uzi wako...Basi kamwambie babako kwamba "wewe baba, nakwepa kukuita mjinga"!!
Au kamsubirie babako wakati anakuambia jambo halafu umwambie "kuna watu wajinga sana"
Usinione nakupotezea kwa maneno yako ya kifedhuli dhidi yangu halafu ukanichukulia poa... nimeamua tu kukausha!
Punguza u-MUCH KNOW na kujifanya unajua kila kitu wakati maelezo yako ni ya kutoa kichwani!!
Unarudia yale yale tena na tena....