dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Ww ni mjinga sna kbla sijajiunga jf nilikuwa nasoma ujinga wako na upuuzi wako leo nimejiunga rasm nimekuona ulivyo hopless kbsaaWajinga ni wengi sana, alafu kwa nn wajinga wengi mmejiunga jf 2022??
Weww endeleea kuamini kama tuko wegeni humu ndani kwa sababu za id mpya nani kakuambia wew kuwa id mpya ni ya sas hvKwa nn wajinga wengi mmejiunga jf 2022?
Mimi ni bora tu sekta ya kilimo na chakula iongezewe bajeti na utafiti ili matumbo yetu yachangamke tuwe na nguvu ya kunyanduana tukisubiria kufa.Bora nimepita hapa nijue mambo ya msingi kuliko hbr za kina simalenga dimela kumnaza mwanafunzi malay makofi
Njoo wew kijana UMUGHAKA ufahamu vitu hv
Bwashee kuandika tu hujui, sasa nawezaje kukusaidia kukuondolea ujinga?Ww ni mjinga sna kbla sijajiunga jf nilikuwa nasoma ujinga wako na upuuzi wako leo nimejiunga rasm nimekuona ulivyo hopless kbsaa
Mm toka mwak 2015 niko jf ila rasm nimejunga juz tu ila wakuda wengi nawapata mno wew ni mmoja wapo ya watu wajinga wajuaji ,wivu mwingi
Unaona mwenzako kaandika thred yake bas wew kutwa nzimaa kushindaa kumchallenge wwe si uandike yako kama unaweza kutuliza akili vizur kam chiga
Acha niku igonore tu
Usikonde Chifu, nitapandisha tu uzi....Jamani wengine tumekuja kwenye uzi huu kujifunza! Heshimuni hilo pia Chige tunaomba uendelee na maeneo mawili uliyoahidi Jf ni yetu Na Tanzania ni yetu wote ! Natanguliza shukrani
Na mimi naomba unitagUsikonde Chifu, nitapandisha tu uzi....
Sema kwavile hicho kipengele kina mambo mengi sana, na ndo ya msingi zaidi, inabidi nitumie muda kidogo kuchagua baadhi.
Anyway, nitaku-tag.
Noted...Na mimi naomba unitag