Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani

Unatuuliza sisi?Nahisi lengo la mtesi ni kukukomoa.Yaani kukufanya ujisikie kudunishwa?Maana nafikiri maji yalikuwepo na hayo ndo hukata kiu kuliko kinywaji chochote, kitendo cha kumpa siki iliyochanganywa sifongo nahisi ilikuwa nia ovu .
 
Tatizo unafikiri mawazo yako ni mawazo ya Mungu.Ukigundua awazavyo Mungu sivyo uwazavyo wewe na njia zake sio zako basi utamwelewa .Kwa sasa endelea kupambana naye kwa uwezo alokupa maana ushafeli kumwelewa,ili usiwe na utetezi mbele yake siku ikifika.
 
Unahakikishaje Mungu yupo kweli, na habari za kuwapo kwake si hadithi za watu tu?

Hujathibitisha hili.

Thibitisha Mungu yupo kabla ya stories nyingi za Mungu hivi, Mungu vile.
 
Ili utabiri utimie.
Maana wenzetu wanaamini yesu alikuja kufa kwa ajili ya DHAMBI zao ili wasamehewe. Sasa yesu asingekufa wangesamehewa vipi hawa ndugu zetu?
1. Hizo dhambi walitoa walitoa wapi?
2. Je Mungu hakuwa na namna nyingine ya kuondoa hizo dhambi?
3. Kama Yesu aliwaondolea hizo dhambi kwa nini bado wanatakiwa wasitende dhambi?
 
1. Hizo dhambi walitoa walitoa wapi?
2. Je Mungu hakuwa na namna nyingine ya kuondoa hizo dhambi?
3. Kama Yesu aliwaondolea hizo dhambi kwa nini bado wanatakiwa wasitende dhambi?
Wakristo huwezi kuwaelewa mpk usome imani yao.

Wao wanaamini kitu kiitwacho "Dhambi ya ASILI"

Yaani Adam na Hawa walipokula tunda na kuondolewa ktk Bustani za peponi dhambi ile wanadai lazima wailipe wao.
Na ndio maana wanadai ati Mungu alikuja kwa sura ya binaadamu (yesu) ati akaamuq KUUAWA MSALABANI ili dhambi ile abebe yeye.
Cha Ajabu ni kuwa ukiwauluiza Je Mungu anaweza Kufa ? Wanasema HAPANA.
Je Yesu alipokufa Mungu alikuwa hai? Wanasema Mungu baba alikuwa hai.
Je Mungu Baba ni tofauti na Yesu? Wanasema Hapana.
Yaani kifupi UKRISTO ni imani ambayo ukiuliza maswali machache tu lzm urudi mtupu. Na ndio maana huwezi kukuta mkristo anauliza maswali muhimu km haya kwa kiongozi wake wa kanisa.
Na akithubutu anaambiwa ANA MAPEPO NA LZM AOMBEWE.
Na ili maombi yafanyike vizuri lzm utoe fungu la 10.

Ndio Uislamu unasema "Mwenye KUABUDU asiekuwa Mungu MMOJA lzm atapata shida tupu ktk imani hio"
 
Kamusi ya Kiswahili sanifu
Sifongo= kipande cha godoro ama sponji
 
Duh hivi jamaa yesu aliwakoseaga nini mbona walikuwa na hasira naye sana dah inauma sana


Yaan watu wamekupiga misumari wakaona haitosh wakampiga na sifongo tena
Ukiachana na stori za kiimani, Yesu alikuwa mwanaharakati aliyepinga utawala wakati ule.


Najua unajua wapinzani wa leo kinachowapata. So, kuua na kutesa wapinzani haijaanza siku hizi.

Kiasili hakuna utawala unaopenda upinzani.
Duh hivi jamaa yesu aliwakoseaga nini mbona walikuwa na hasira naye sana dah inauma sana


Yaan watu wamekupiga misumari wakaona haitosh wakampiga na sifongo tena
Ukiacha stori za kiimani, Yesu alikuwa mpinzani wa utawala wakati ule.

Najua unajua kinachowapata wapinzani wa leo. So, watawala hawakuanza sasa kuua na kutesa wapinzani.

Kiasili hakuna utawala unaopenda kupingwa. Ever!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…