Ifahamu syndicate ya ANTIFA inayosadikika kumuua Charlie Kirk

Ifahamu syndicate ya ANTIFA inayosadikika kumuua Charlie Kirk

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
20250911_194712.jpg

Inasemekana silaha iliotumika imekutwa na chata ya Antifa na trasgender (wanaobadirisha viungo vya ngono na kulazimisha atambulike jinsia mpya)

Antifa ni kundi la mrengo wa kushoto ambalo itikadi yake ni kupinga misimamo ya mrengo wa kulia. Ni mtandao unaotumia machafuko kufikisha hoja zao.

Antifa wanaamini katika kuupinga ukristo kwa maana hauendani na sera wanazoamini, ku-promote haki za mashoga na wasagaji, uhamiaji wa kiholela, kubadirisha viungo vya ngono kwa watoto kutokana na matakwa ya wazazi, ku-promote ukomonisti na ujamaa na upingaji wa sera za kimagharibi.
 
Hiyo itikadi ni likely kuungana na itikadi ya kikobazi, maana hata makobazi hupinga sana umagharibi. Wamejipenyeza mpaka kwenye kupigania wapalestina
 
Hiyo itikadi ni likely kuungana na itikadi ya kikobazi, maana hata makobazi hupinga sana umagharibi. Wamejipenyeza mpaka kwenye kupigania wapalestina
Uko sahihi mkuu
 
Wapagani wakubwa wale, cha ajabu wanashirikiana na itikadi ile ilyo kansa ya dunia kueneza ushetani duniani
 
Oh sawasawa, na jamaa pia alikua ana support sana sheria ya watu kumiliki silaha. Bahati mbaya kawa muhanga wa hizo silaha.
Silaha haiu watu ila antifa, itikadi kali na radicals wa mrengo wa kushoto ndio wanaua watu. Ahsante
Oh sawasawa, na jamaa pia alikua ana support sana sheria ya watu kumiliki silaha. Bahati mbaya kawa muhanga wa hizo silaha.
 
Tayari ashakwenda huyo na maisha mengine yataendelea. Hii dunia kuna vikundi ni kama vya kishetani, ukitaka kuviharibu lazima uwe na back up ya kutosha, even presidents wanauawa na vikundi vya ajabu...
 
💯💯
 
Walimwengu wanachekesha sana... Hapo wameua mtu kwenye igizo lao 😊
 
Back
Top Bottom