Ifahamu syndicate ya ANTIFA inayosadikika kumuua Charlie Kirk

Ifahamu syndicate ya ANTIFA inayosadikika kumuua Charlie Kirk

Hao jamaa hua siwapendi nawafananisha na wanamtandao
Hao ni kama makafiri wana support mashoga wa LGBTQ na wengine mwaka huu waliruhusiwa kufanya Hija vatican,wakaenda na bendera zao za upinde Kanisani kuhiji.
 

Attachments

  • Screenshot_20250909_192740_Gallery.jpg
    Screenshot_20250909_192740_Gallery.jpg
    449.9 KB · Views: 22
Mimi nakipenda chama cha trump wao Wana Ka Ukristo fulani na kupinga mambo ya kijinga
Hakika.

Republicans wanaheshimu misingi ya ukristo, kuping ushoga na ugaidi wa mataifa ya itikadi kali.

Jaribu kuangalia FOX NEWS, ACHANA NA UTAPELI WA BBC, CNN NA AL JAZEERA
 
Back
Top Bottom