Oh sawasawa, na jamaa pia alikua ana support sana sheria ya watu kumiliki silaha. Bahati mbaya kawa muhanga wa hizo silaha.Ndio mkuu, aliwaua katika debate mavyuoni huko, walimchukia kwa kwwli
Silaha haiu watu ila antifa, itikadi kali na radicals wa mrengo wa kushoto ndio wanaua watu. AhsanteOh sawasawa, na jamaa pia alikua ana support sana sheria ya watu kumiliki silaha. Bahati mbaya kawa muhanga wa hizo silaha.
Oh sawasawa, na jamaa pia alikua ana support sana sheria ya watu kumiliki silaha. Bahati mbaya kawa muhanga wa hizo silaha.
Hao jamaa hua siwapendi nawafananisha na wanamtandaoYap.
Radicals , woke wanamajina mengi
Mimi nakipenda chama cha trump wao Wana Ka Ukristo fulani na kupinga mambo ya kijingaYap, wauaji hawa.
Wapo kama itikadi kali
Ukiawazidi hoja wanakuua au kama ni JF wanakuitia Mods