ni kweli kabisa..Unakutana na nyau usiku unampiga tochi unaona macho yanang'aa, hata wanyama wa porini nao ni hivyohivyo
hapanaSamahani, je watu wenye u-albinism huu mng'ao wanao?
haha ha ha mpaka mwanga utue machoni mwake ndio yanawaka...nje kuna miale mingi mwezi, taa za magari,nyumba etcKichekesho ni kuwa paka wangu tukiwa ndani gizani sijawahi kumuona na macho ya hivyo Ila akiwa nje namuona na macho yanayong'aa
Sawa.hapana