Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Nitajaribu hiiIpo na ile ya kutumia yai
Yai la kuku lile jepesi ila sifahamu kama ndiyo yai viza au inakuaje
Unaliweka kwenye kiganja linakuwa limelala,unatembea uelekeo wowote ila kama sehemu kuna maji linasimama lenyewe hapo kwenye kiganja chako
Hii nimewahi kuifanya ni uhalisia unaweza kujaribu..