Ifahamu water witching na maajabu yake

Ifahamu water witching na maajabu yake

Ipo na ile ya kutumia yai
Yai la kuku lile jepesi ila sifahamu kama ndiyo yai viza au inakuaje
Unaliweka kwenye kiganja linakuwa limelala,unatembea uelekeo wowote ila kama sehemu kuna maji linasimama lenyewe hapo kwenye kiganja chako
Hii nimewahi kuifanya ni uhalisia unaweza kujaribu..
Nitajaribu hii
 
Ya vijiti sikuwa naijua ila hiyo ya rods za copper nimeitumia sana milimani huko enzi natafuta dhahabu😀
 
Ya metal rods ni sawa. Nafikiri ni masuala ya umeme na sumaku ya dunia maana maji nayo yanapitisha umeme. Ya vijiti siamini.
Nimeangalia video nyingi wanaSema ni kweli inafanya kazi ,nitajaribu kufanya kupractice nijithibitishie mwenyewe maana Kila kitu kinapatikana
 
Ila njia ya Yai sio kweli nimejaribu muda huu huu sasahiv nafuga kuku hapa
JPEG_20230416_151759_3319365618067987687.jpg
 
Ila ipo effective kwa maji yalio karibu na ardhi (water table) sio aquifers.

Za copper rods ndio unyama. Nilivojaribu sikuamini tukapiga VES ikasema maji yapo pale pale. Nilinyoosha mikono.
Yes copper na bronze ziko more precise zaid
 
Back
Top Bottom