Nitajaribu hiiIpo na ile ya kutumia yai
Yai la kuku lile jepesi ila sifahamu kama ndiyo yai viza au inakuaje
Unaliweka kwenye kiganja linakuwa limelala,unatembea uelekeo wowote ila kama sehemu kuna maji linasimama lenyewe hapo kwenye kiganja chako
Hii nimewahi kuifanya ni uhalisia unaweza kujaribu..
Nimeangalia video nyingi wanaSema ni kweli inafanya kazi ,nitajaribu kufanya kupractice nijithibitishie mwenyewe maana Kila kitu kinapatikanaYa metal rods ni sawa. Nafikiri ni masuala ya umeme na sumaku ya dunia maana maji nayo yanapitisha umeme. Ya vijiti siamini.
TuambieUkiambiwa jinsi ya ku Gandiana baina ya mwanamke na mwanaume ktk tendo utashangaa
Yes copper na bronze ziko more precise zaidIla ipo effective kwa maji yalio karibu na ardhi (water table) sio aquifers.
Za copper rods ndio unyama. Nilivojaribu sikuamini tukapiga VES ikasema maji yapo pale pale. Nilinyoosha mikono.