Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Tuliapa Tangu Mapema sana kwamba, hakuna kijiji kitakachoachwa, na hoja yetu ni ile ile ya kuepusha mauaji kwa sababu za Uchaguzi, na kwamba bila Mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi.
Ni heri wafanye watakavyo lakini uhai wa wananchi uwe salama.
Kampeni ya Chadema imekuwa Rahisi sana kwa sababu hakuna kijiji cha Tanzania ambacho hakuna Kaburi la Mwanachadema ambaye aliuawa kwa sababu za Uchaguzi, iwe kwa kulogwa, kupigwa mapanga na mashoka, kumwagiwa tindikali, kutupiwa mabomu au kupigwa risasi, Kwahiyo Wananchi wanaonyeshwa tu Makaburi hayo na wanaelewa hoja mara moja.
Angalia Mtiti huu wa Ifakara