ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Wamechoka hela? 😁😁Ngoja muone wenye akili huko kwenye dola wanavyowageuka safari hii.
Mbuzi kabisa nyie
Kuna wengine wenye akili tofauti na CCM kweli?
Wamechoka hela? 😁😁Ngoja muone wenye akili huko kwenye dola wanavyowageuka safari hii.
Mbuzi kabisa nyie
Labda Niko nyuma Yako 😆😆Uko nyuma sana!
Uko nyuma mno kiakili, kufikiria kubebwa na dola kwa miaka hii ni sawa na kichaaLabda Niko nyuma Yako 😆😆
Atazihamishia kwa Chaumwa😄😄😄John Mrema wa Chauma akiona hizi picha ataumia sana
OLE WAKE MWANACHI ATAKAYE ENDA KUPANGA MSTARIN KUPIGA KURATuliapa Tangu Mapema sana kwamba, hakuna kijiji kitakachoachwa, na hoja yetu ni ile ile ya kuepusha mauaji kwa sababu za Uchaguzi, na kwamba bila Mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi.
Ni heri wafanye watakavyo lakini uhai wa wananchi uwe salama.
Kampeni ya Chadema imekuwa Rahisi sana kwa sababu hakuna kijiji cha Tanzania ambacho hakuna Kaburi la Mwanachadema ambaye aliuawa kwa sababu za Uchaguzi, iwe kwa kulogwa, kupigwa mapanga na mashoka, kumwagiwa tindikali, kutupiwa mabomu au kupigwa risasi, Kwahiyo Wananchi wanaonyeshwa tu Makaburi hayo na wanaelewa hoja mara moja.
Angalia Mtiti huu wa Ifakara
View attachment 3356982View attachment 3356984View attachment 3357023View attachment 3357027
Hayo macho? Au vidonda!!!!!Polisi wengi kuliko wananchi