Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Polisi wengi kuliko wananchiTuliapa Tangu Mapema sana kwamba, hakuna kijiji kitakachoachwa, na hoja yetu ni ile ile ya kuepusha mauaji kwa sababu za Uchaguzi, na kwamba bila Mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi.
Ni heri wafanye watakavyo lakini uhai wa wananchi uwe salama.
Kampeni ya Chadema imekuwa Rahisi sana kwa sababu hakuna kijiji cha Tanzania ambacho hakuna Kaburi la Mwanachadema ambaye aliuawa kwa sababu za Uchaguzi, iwe kwa kulogwa, kupigwa mapanga na mashoka, kumwagiwa tindikali, kutupiwa mabomu au kupigwa risasi, Kwahiyo Wananchi wanaonyeshwa tu Makaburi hayo na wanaelewa hoja mara moja.
Angalia Mtiti huu wa Ifakara
View attachment 3356982View attachment 3356984View attachment 3357023View attachment 3357027
Baada ya mada ya kikokotoo wamelipuka kwa shangwe, hadi mmoja amedondosha bunduki, sema amewahi kuiokotaPolisi wengi kuliko wananchi
Baada ya mada ya kikokotoo wamelipuka kwa shangwe, hadi mmoja amedondosha bunduki, sema amewahi kuiokotaPolisi wengi kuliko wananchi
Ifakara wametisha sanaTuliapa Tangu Mapema sana kwamba, hakuna kijiji kitakachoachwa, na hoja yetu ni ile ile ya kuepusha mauaji kwa sababu za Uchaguzi, na kwamba bila Mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi.
Ni heri wafanye watakavyo lakini uhai wa wananchi uwe salama.
Kampeni ya Chadema imekuwa Rahisi sana kwa sababu hakuna kijiji cha Tanzania ambacho hakuna Kaburi la Mwanachadema ambaye aliuawa kwa sababu za Uchaguzi, iwe kwa kulogwa, kupigwa mapanga na mashoka, kumwagiwa tindikali, kutupiwa mabomu au kupigwa risasi, Kwahiyo Wananchi wanaonyeshwa tu Makaburi hayo na wanaelewa hoja mara moja.
Angalia Mtiti huu wa Ifakara
View attachment 3356982View attachment 3356984View attachment 3357023View attachment 3357027
Wameanza Leo kutosha? CCM Ina Dola haitishiwi na wasiojitqmbua.Ifakara wametisha sana
Picha kama hizi ndo zinawapandisha pressure kina chiembe Lucas mwashamba ChoiceVariable @lusuna wengineo
Ngoja muone wenye akili huko kwenye dola wanavyowageuka safari hii.Wameanza Leo kutosha? CCM Ina Dola haitishiwi na wasiojitqmbua.
Uko nyuma sana!Wameanza Leo kutosha? CCM Ina Dola haitishiwi na wasiojitqmbua.