Ifakara vs Kasulu Mji gani umechangamka na unafaa Kuishi?

Binafsi naamini umaskini wa kigoma ni sababu za jiographia na treni ikifika hii sgr kigoma itakua na uchumi mkubwa sana
 
Binafsi naamini umaskini wa kigoma ni sababu za jiographia na treni ikifika hii sgr kigoma itakua na uchumi mkubwa sana
Kwamba kinachosababisha umaskini ni kukosa treni ya umeme au? ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 

View: https://youtu.be/95nA4R22V8Q?feature=shared
 
Kasulu
Line Police

Stendi
Kwa Shayo
Mwilamvya
Heru Juu
Kilombero
 
Kwa idadi ya watu naona kama Ifakara Iko zaidi kata 19 watu 290,000.

Kasulu kata 15 watu 240,000.
 
Nimecheck hotel za ghorofa kasulu wanazo nyingi na nzuri, mitaa yao imepangika vizuri , nimeona jengo lao la TRA ni zuri , nimeangalia bei ya viwanja kasulu ni gharama Sana ifakara viwanja bei ndogo, biashara nimeona kasulu wanafanya vizuri Sana na kumbe ndio wenye wafanyabiashara wengi kariakoo wakubwa kwa mkoa wao wa kigoma, kuna mtu kanieleza kuna watu hutokea Tabora na kigoma kwenda kununua bidhaa za jumla kasulu, lakini burundi pia hufunga baadhi ya bidhaa hasa za duka kasulu
 
Ifakara pamepazidi mbali kasulu..nimetumia facts hizi.
1. Location- ipo karibu na mikoa mikubwa Dar na Dom
2. Usafiri - lami tupu na tren ipo so mwingiliano ni mkubwa
3. Mazao - Mpunga wa kutosha na ni wauzaji wakubwa wa mpunga so ni mji wa kibiashara
 
Kasulu ni Mji Mkubwa sana na unaendelea kukua kila kukicha, mpaka nchi jirani zinaenda kununua bidhaa za jumla katika mji wa kasulu, pia STAMICO wanafanya tafiti endelevu za ufuatiliaji wa Madini kati ya Kasulu na Buhigwe. Hivyo hayo yakikamilika Mji utakuwa sana zaidi.
 
Distance from major commercial hubs
Kasulu Ina watu wengi over 200k na ni TC council Toka kitambo na ndio Mji wa biashara Kwa Kanda nzima.

Bujumbura,DRC nk sio mojor commercial hubs? Aliyekwambia wanategemea Dar ni nani?
 
Kasulu Ina watu wengi over 200k na ni TC council Toka kitambo na ndio Mji wa biashara Kwa Kanda nzima.

Bujumbura,DRC nk sio mojor commercial hubs? Aliyekwambia wanategemea Dar ni nani?
Bujumbura ina changamoto sawa na kigoma na Burundi ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ ni maskini mno kuwa soko.
Drc miundombinu ni majanga hamna biashara ya maana inaweza fanyika kati ya kigoma na sehem ulizotaja. Waha na wapiga kazi sana kigoma hamnaga njaa ila masoko ya mazao yapo mbali
 
Ila watu wa huko wanakuja kufanya biashara Kasulu,hayo mengine ni Yako.

Wengi wenu mnajisemesha eti Maskini, Serikali inaweza kuwa maskini ila watu wasiwe maskini ni suala la udhibiti tuu,nikikuonesha picha za Bujumbura uswazi za Mwanza,Arusha na Dodoma zikasome in terms of nyanja zote.

Likewise Goma & Bukavu.
 
Mkuu hamna serikali maskini dunia nzima maskini ni raia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ