ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Binafsi naamini umaskini wa kigoma ni sababu za jiographia na treni ikifika hii sgr kigoma itakua na uchumi mkubwa sanaUchumi wa Kasulu mkubwa sana. Ile Lami ya Nyakanazi-Kakonko-Kibondo-Kasulu-Kigoma imekamilika. lakini pia Lami ya Kasulu-Uvinza ipo tayari. Kipande kinachoendelea ni cha Uvinza-Magarasi Mpanda. Pia Lami ya Kasulu-Uvinza-Urambo-Tabora bila bado vipande tu. Kasulu pamefunguka. Pia pana miradi mikubwa sana ya Kilimo ipo kwenye pipelines (Washaurielekezi wapo site) ukiwemo mradi mkubwa wa ujenzi wa umwagiliaji bonde la mto Malagarasi na mradi wa umeme.
Kwa ufupi kwa sasa hakuna mkoa wa Tanzania upo pembezoni. But wewe unaweza kuamua pa kuanzai maisha.