Habari wakuu.!
Naomba niweke sawa kuhusu bei za kazi zetu za kushonea seat cover, stearing, dashboard, roof,floor na airbag zilizoharibika. Kutokana na maoni au ushauri wa wateja nimeona niweke bei elekezi ingawaje wengine washanipigia simu tayari na nishaanza kazi zao.
Kwa seat cover ambazo ni za gari ndogo mfano, IST,VITZ, CARINA n.k. bei yake ni laki tano.Ambapo gari kubwa mfano V8, Alphard,n.k bei yake ni laki saba.
Kwa dashboard gari ndogo bei ni laki 3. Ambapo kwa gari kubwa bei ni laki 4.
Kwa upande kwa roof bei ni laki 3.
Kwa upande wa floor bei yake ni laki 5.
Nyongeza, mimi sio dalali ni fundi mwenyewe, nakushonea ukiwa unaisubiri na unaondoka nayo. Asanteni kwa maoni na ushauri.
0679478758