Ifanye gari yako ionekane mpya kwa kushonea roof, seat cover, dashboard n.k. check attachment hapo chini

Kweli gari zipo nyingi na zinajulikana weka bei elekezi kwa kila gar kwa maana yeye ndio anayejua kutokana na ujuzi wake na unaweka kipengele cha negotiable au maelewano yapo basi mchezo umeisha lakini mbishi kama unauza ngada
 
Ndo maana nikaweka namba ya simu kwa maelezo zaidi. Wateja wanapiga simu na kazi zinaendelea, hatutoagi bei kama picha ya gari kwa ndani hatujaiona.
 
A
 
Ndo maana nikaweka namba ya simu kwa maelezo zaidi. Wateja wanapiga simu na kazi zinaendelea, hatutoagi bei kama picha ya gari kwa ndani hatujaiona.
Sasa si useme nitatoa bei nikiona gari, no. yako ya simu haina maana kuwepo hapo
 
Habari wakuu.!
Naomba niweke sawa kuhusu bei za kazi zetu za kushonea seat cover, stearing, dashboard, roof,floor na airbag zilizoharibika. Kutokana na maoni au ushauri wa wateja nimeona niweke bei elekezi ingawaje wengine washanipigia simu tayari na nishaanza kazi zao.

Kwa seat cover ambazo ni za gari ndogo mfano, IST,VITZ, CARINA n.k. bei yake ni laki tano.Ambapo gari kubwa mfano V8, Alphard,n.k bei yake ni laki saba.
Kwa dashboard gari ndogo bei ni laki 3. Ambapo kwa gari kubwa bei ni laki 4.

Kwa upande kwa roof bei ni laki 3.

Kwa upande wa floor bei yake ni laki 5.

Nyongeza, mimi sio dalali ni fundi mwenyewe, nakushonea ukiwa unaisubiri na unaondoka nayo. Asanteni kwa maoni na ushauri.

0679478758
 

Attachments

  • Screenshot_20200811-173421.png
    138.8 KB · Views: 35
  • IMG-20200811-WA0007.jpg
    52.2 KB · Views: 35
  • 123afe107cb5499c9fd2d724637d1bdd.jpg
    60.5 KB · Views: 31
  • IMG-20200810-WA0044.jpg
    45.9 KB · Views: 32
  • IMG-20200810-WA0031.jpg
    75.8 KB · Views: 35
  • IMG-20200810-WA0025.jpg
    60.1 KB · Views: 34
  • IMG-20200810-WA0023.jpg
    56.3 KB · Views: 30
  • IMG-20200810-WA0027.jpg
    55.4 KB · Views: 33
  • IMG-20200810-WA0016.jpg
    51.4 KB · Views: 33
  • IMG-20200810-WA0021.jpg
    72.6 KB · Views: 33
  • IMG-20200810-WA0010.jpg
    57.3 KB · Views: 32
  • IMG-20200810-WA0017.jpg
    52.9 KB · Views: 31
  • IMG-20200810-WA0020.jpg
    61.9 KB · Views: 30
  • IMG-20200810-WA0014.jpg
    84.5 KB · Views: 32
  • IMG-20200810-WA0011.jpg
    91.1 KB · Views: 34
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…