Mimi ni mdada mkuu [emoji23]MBONA jamaa katoa ushauri mzuri tuu,mnamzodoa kwa sababu Gani?ila kama Mimi nimemuelewa vizuri TU,yupo sahihi, solution ufungue kichwa chako uone fursa ingine badala ya hiyo uliyokuwa nayo kwa sasa,
Mimi ni mdada mkuu [emoji23]
Nashukuru kwa kuliona hilo, tatizo sisi wamatumbi tunapenda kutafuniwa kila kitu.
Hapo alitaka nimtafutie na chanzo cha mapato nimkabidhi n still bado asingeridhika.
leo umekula nini mbona unaongea point tupu[emoji7][emoji7] my shogare
Naona inajibu aisee hata mie naona mambo si habaMajibu ya Ritha wa Kashia 😂😂
Nikiwa na napata
*dividend UTT
*interest government bonds
*Dividend from DSE
*Mifugo za kutosha
*Mashamba ya kutosha
*Kumbi za sherehe za kutosha Kila mkoa na Kila wilaya
*Magodown ya mazao ya kutosha Kila mkoa na Kila wilaya na yote nipate hati miliki
*Apartments za kutosha Kila mkoa na Kila wilaya na zote ziwe na hati miliki
*Bank account na float ya kutosha
Vyote hivyo viwe ndani ya Tanzania.
Kenya
*Niwe za stocks za share za kampuni nzuri hata tano hasa mabenki Tena Ile aliyowekeza raisi mstaafu wa Kenya.
Uganda
*Niwe na stocks za share za kampuni nzuri hata tano hasa mabenki .
Nikifanikiwa vyote hivi nitakuwa financial free.nitaishi kwa Bata maisha yangu yote na vizazi vyangu vyote.
Wifi tena?Wifi yangu,
Nikisoma vitu kama hivi kichwa changu kinachemka na usingizi unanigomea usiku..
Nashukuru sana kwa a very great reminder, Kaka Countrywide hapa mke tunaye.