Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
- Thread starter
- #21
Mimi ni mdada mkuu [emoji23]MBONA jamaa katoa ushauri mzuri tuu,mnamzodoa kwa sababu Gani?ila kama Mimi nimemuelewa vizuri TU,yupo sahihi, solution ufungue kichwa chako uone fursa ingine badala ya hiyo uliyokuwa nayo kwa sasa,
Nashukuru kwa kuliona hilo, tatizo sisi wamatumbi tunapenda kutafuniwa kila kitu.
Hapo alitaka nimtafutie na chanzo cha mapato nimkabidhi n still asingeridhika.