Ifanyike sensa, Wazanzibar wote wanaofanya kazi zisizo za muungano bara warudishwe kwao

Ifanyike sensa, Wazanzibar wote wanaofanya kazi zisizo za muungano bara warudishwe kwao

CCM walianzisha vita wakiwa ndani ya Nyumba ya vioo.

CCM ni muungano wa TANU na ASP, sasa Watanganyika wameamua kuuvunja huu ushirika tuone kama utakuwepo
 
Nchi hii ikitsk Usawa, mikoa ya pwani na Zanzibsr zijimege tu iwe zsnzibar
Hawa hawa wacheza mdumange, vibao kata na sindimba unawaona wakikubali kuwa chini ya Zanzibar ?.... 😁😁😁
 
Wazan,ibari wanafaidi sana fursa za tanganyika.mfano waziri wa fedha,waziri wa uchukuzi waziri wa tamisemi na wengine lukuki
 
Ingekuwa uwezo wangu, iwe kwa amani au vita, Unguja na Pemba zingekuwa mikoa ya Tanganyika
Wewe mwanamume umekubali kwa kishindo na kucheza viuno kuongozwa na mwanamke kutoka Zanzibar utaweza kuchukuwa visiwa ??? Endelea kuimba hizo tamthilia zako humu jf lakini kijana ni kwishney
 
Meza unayotikisa ina vinywaji vya gharama sana!

Mwaka juzi nilipata ajira kwenye shirika fulani la umma, kuna vijana wengi sana wa kizanzibari tuliajiriwa nao. Lakini kule Zanzibar nao wana shirika lao kama hilo linalojitegemea.
 
Kama serikali zinataka Muungano uendelee basi waufanyie Review na pia wakusanye maoni ya wadau kama wanautaka au lah na kama wanautaka je uweje?
 
we Kima mbona wengine tumeelewa? haya ni Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri/Manispaa.
 
Ili kuepusha chuki na uadui unaozidi kujengeka kutokana na Wazanzibari kuifanya Tanganyika ni nyumba isiyo na mwenyewe, ni vema, tena haraka sana, kufanyike mjadala mpana wa Muungano. La sivyo tutakuja kutengana tukiwa maadui. Kama inalazimu, ni vema kutengana mkiwa hamjafikia kwenye uhasama.
Ni dharau kubwa sana kwa Tanganyika, kuwajaza Wazanzibari kwenye sekta, taasisi na wizara zisizo za Muungano. Haya yakiendelea, ni vema Watanganyika tukasimama na kuwaondoa kwa namna ambayo wataelewa kuwa Tanganyika siyo chaka huru la Wazanzibari.
 
Nchi hii ikitsk Usawa, mikoa ya pwani na Zanzibsr zijimege tu iwe zsnzibar
Mikoa ya pwani na kisiwa Cha mafia iundwe nchi mpya ya Azania.

Yaani kuanzia Tanga mpaka Mtwara, morogoro, mpaka Tunduru.

Ila Tanganyika ni Bora zaidi.
 
Wewe mwanamume umekubali kwa kishindo na kucheza viuno kuongozwa na mwanamke kutoka Zanzibar utaweza kuchukuwa visiwa ??? Endelea kuimba hizo tamthilia zako humu jf lakini kijana ni kwishney
Umeelewa nilichoandika?
 
Hawa hawa wacheza mdumange, vibao kata na sindimba unawaona wakikubali kuwa chini ya Zanzibar ?.... 😁😁😁
Yah mana kwa kias kikubwa sana utamaduni wanafanana. Watu wa Tanga na Zazibar ndo haohao. Ukija Wamakonde wa kale ndio walioijaza Pemba. Hata tabia na tamaduni za Watu wa unguja na wazaramo zinafanana kabisa. Kupenda ngoma/shughuli na mambo ya Kushona sare shughulini

Miji mingi ya zamani kuanzia kibondeni, kisauni, jangombe na mengineyo miaka ya 80 ilijaa wazaramo hapa Unguja
 
Meza unayotikisa ina vinywaji vya gharama sana!

Mwaka juzi nilipata ajira kwenye shirika fulani la umma, kuna vijana wengi sana wa kizanzibari tuliajiriwa nao. Lakini kule Zanzibar nao wana shirika lao kama hilo linalojitegemea.
Hao ni watanzania! Lakini wewe sio mzanzibar! Zanzibar ya wazanzibar. Tanzania ni ya wazanzibar na watanganyika
 
Ingekuwa uwezo wangu, iwe kwa amani au vita, Unguja na Pemba zingekuwa mikoa ya Tanganyika
Tumechelewa, ingeweza kufanyika wakati wa Nyerere, Mwinyi au Mkapa ila sasa ni vigumu sana.
 
Back
Top Bottom