kirusi cha ukimwi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 799
- 646
Baada ya jamii forum kuweka king'amuzi cha kusoma aina za simu humu ndani hebu tufanye sensa ya wale wote wa samsung , tecno , iphone na nokia lumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo senza inafaida gani.Baada ya jamii forum kuweka king'amuzi cha kusoma aina za simu humu ndani hebu tufanye sensa ya wale wote wa samsung , tecno , iphone na nokia lumia
Teh teh teh [emoji2] [emoji2] umeticha IPhone na price yake na sehemu ilipo [emoji1]Sawa
Sent from Iphone price 5Mil using JF nchi za nje.
Kwani hiyo si ni signature unaweza andika hata sent from MaviNilichokigundua ni kwamba kuna uwezekano mkubwa wa watu kudanganya aina za simu mathalani mtu anaweza akajiwekea hata iphone 10 akitaka
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Mkuu hata mi sijui naona tu wameniwekea sijui. Nahisi tunahesabiwaTeh teh teh [emoji2] [emoji2] umeticha IPhone na price yake na sehemu ilipo [emoji1]
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Wewe na tecno yako tuachie uzi wetuHyo senza inafaida gani.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app