Ifanyike sensa ya simu humu JF

Ifanyike sensa ya simu humu JF

kirusi cha ukimwi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
799
Reaction score
646
Baada ya jamii forum kuweka king'amuzi cha kusoma aina za simu humu ndani hebu tufanye sensa ya wale wote wa samsung , tecno , iphone na nokia lumia
 
Alafu tukishafanya sensa?

Dhumuni la sensa ni kupanga mipango ya kimaendeleo kulingana na idadi ya watu, sasa sensa ya simu lengo lake nini?

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Naomba kufahamu sensa yako itakusaidia kupanga nini?, ama ndo kuwa na takwimu mbili tatu kuona watumiaji wakubwa wa JF ni tabaka la aina ipi katika jamii? Tusaidie kukusanya tuje tuzichambue....naafikiana na zoezi lako.
 
Sawa

Sent from Iphone price 5Mil using JF nchi za nje.
 
hiyo sensa yako ya simu itatusaidia nini katika Tanzania ya viwanda tunayoisubiri?

Sent from my HUAWEI MATE 9 using JamiiForums mobile app
 
Hii itatusaidi kujua simu zipi zinatumika sana na kupata maoni ni kwa nini zipi zinapendelewa sana na zipi ni bora

Sent from my SM-J 9using JamiiForums mobil
 
Baada ya jamii forum kuweka king'amuzi cha kusoma aina za simu humu ndani hebu tufanye sensa ya wale wote wa samsung , tecno , iphone na nokia lumia
Hyo senza inafaida gani.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Anazingua huyu

Sent from my Iphone 6 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kimtazamo wangu nina amini kuwa Wana JF wengi wanatumia web browser, huku kwa watumiaji wa JF APP wakiwa wachache kulingana na idadi ya watembeleaji..
 
Na mimi naunga mkono wazo lako.

Sent from my Samsung Galaxy S 15 plus using jamiiforums mobile app.
 
Nilichokigundua ni kwamba kuna uwezekano mkubwa wa watu kudanganya aina za simu mathalani mtu anaweza akajiwekea hata iphone 10 akitaka

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Nilichokigundua ni kwamba kuna uwezekano mkubwa wa watu kudanganya aina za simu mathalani mtu anaweza akajiwekea hata iphone 10 akitaka

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Kwani hiyo si ni signature unaweza andika hata sent from Mavi
 
Teh teh teh [emoji2] [emoji2] umeticha IPhone na price yake na sehemu ilipo [emoji1]

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Mkuu hata mi sijui naona tu wameniwekea sijui. Nahisi tunahesabiwa

Sent from Iphone price 5Mil using JF nchi za nje.
 
Okey

Sent from my Falcon Supernova Pink Diamond iPhone 6 (Price: 95.5 Million U$)
 
.

sent from my JF phone using Jamiiforums mobile app
 
Back
Top Bottom