Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Kwahyo unabishana na takwimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bishana kwa takwimu sio hisiaYani viwanja vyenyewe kuna timu hazina,
Malefa kila mwezi wanachezesha kwa makosa kibao alafu et wanasema tuko nafasi ya 5 kitaifa
Ha ha ha hii ni Takwimu za mchongo
Kutoka kwenye taasisi ya mchongo
Wanatujaza ujinga Sudan na Tanzania tunaizidi nini SA?Hilo la Tanzania kuizidi South Africa kwa ubora wa ligi mmmh labda watupe vigezo tuone.
Ni vichekeshoWanatujaza ujinga Sudan na Tanzania tunaizidi nini SA?
Elimu Elimu Elimu.Bishana kwa takwimu sio hisia
Ligi bora ni za waarabu tu au?, mi ninachojua, kwa hapa Afrika ya Kwanza ni SA, ya pili ni Tz..,Shirikisho la kimataifa la historia na takwimu za mpira wa miguu (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania bara kuwa Ligi ya 5 kwa ubora barani Afrika na ya 39 Duniani kwa mwaka 2022.
NBC PL imezipiku Ligi za Tunisia,Afrika Kusini,Angola, Nigeria na Zambia.
Misri inaongoza kwa Ligi bora Afrika,ikifuatiwa na Algeria,ya tatu ni Morocco wakati nafasi ya nne ni Sudan.
Hii ni ukwel mzee, timu 2 robo fainali.Takwimu za mchongo kutoka Taasisi ya mchongo