OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ndo takataka gani hii?View attachment 2586207
IFFHS MEN'S CLUB CONTINENTAL RANKING! π΄π
Top 10 (1 April 2022 β 31 March 2023)
1. Al Ahly. 217 points πͺπ¬
2. Wydad AC. 175 points π²π¦
3. Zamalek SC. 163 points πͺπ¬
4. Pyramids FC. 142.5 points πͺπ¬
5. Al Hilal. 134.25 points πΈπ©
6. Raja. 127.5 points π²π¦
7. Future FC. 125.75 points πͺπ¬
8. Mamelodi 123.5 points πΏπ¦
9. Simba SC. 122 points πΉπΏ
10. FAR Rabat. 114.5 points π²π¦
HaterNdo takataka gani hii?
Hamtuwezi nyie bana.Hater
Huna akili ya kuelewa hili jambo. Wenye uelewa kule kwenu ni wawili tu:JK na Mzee Manara. We huna akili hizo.Ndo takataka gani hii?
Hata akili ya kutofautisha nyakati huna? IFFHS hutoa kila baada ya muda fulani. Mara ya mwisho ilikuwa February 2023Uzi kama huu Jf ndio uzi uliorudiwa mara nyingi katika historia ya Jf cheki chini similar topic kwa uchache utakuta mfano wa uzi huu upo.
Mbumbumbu mama yako. Nani kakuita kusomaKila siku hizi nyuzi mbumbumbu
Ona huyu bwege anajifichia kwenye Simba. Timu mbovu inafika robo fainali? Yaani kati ya timu 1000 zimebaki timu nane bora. Halafu unasema timu sio nzuriNi suala la muda watani wetu Yanga watatuacha. Kwanza nawatabiria kufika fainali ya kombe la shirikisho. Timu ngumu ni za Morocco tu naa fainali ni moja tu, lolote linaweza kutokea. Kwa kweli nawapongeza kwa maendeleo ya kisoka wanayaofanya, miaka mingi hawakufika makundi na sasa wanauhakika na nusu fainali. Msimu ujao watakuwa Champions league na nawaona wakiendelea kufika hatua za mtoano, kama Simba timu yetu haiko vizuri tunafika mtoano Yanga kuanzia msimu ujao watafika na kuingia nusu faibali na kuweka rekodi zaidi.
Duh,haya bhana..Mbumbumbu mama yako. Nani kakuita kusoma
Yanga wananunua mechi ukiachana na maswala ya ushirikina.
Sawa ila shule imepanda usinichukulie poa.Huna akili ya kuelewa hili jambo. Wenye uelewa kule kwenu ni wawili tu:JK na Mzee Manara. We huna akili hizo.
Kama ni mtu wa mpira na mshabiki wa Simba unajua kuwa timu yetu haiko katika ubora unaotakiwa. Huwezi kufananisha na Yanga kwa sasa, ndio maana yangu hiyo kufananisha na Yanga. Yanga kwa sasa ni bora zaidi ya Simba hilo halina ubishi. Na sioni sababu ya kutumia matusi kama wewe ni mtu wa mpita tujibu kwa hoja tuOna huyu bwege anajifichia kwenye Simba. Timu mbovu inafika robo fainali? Yaani kati ya timu 1000 zimebaki timu nane bora. Halafu unasema timu sio nzuri
Ndio furaha yenu ilipobakia. Mtaongea nini kingine? π π π πView attachment 2586207
IFFHS MEN'S CLUB CONTINENTAL RANKING! π΄π
Top 10 (1 April 2022 β 31 March 2023)
1. Al Ahly. 217 points πͺπ¬
2. Wydad AC. 175 points π²π¦
3. Zamalek SC. 163 points πͺπ¬
4. Pyramids FC. 142.5 points πͺπ¬
5. Al Hilal. 134.25 points πΈπ©
6. Raja. 127.5 points π²π¦
7. Future FC. 125.75 points πͺπ¬
8. Mamelodi 123.5 points πΏπ¦
9. Simba SC. 122 points πΉπΏ
10. FAR Rabat. 114.5 points π²π¦
Nawewe nunua kama ni rahisi,na Jumapili tutawanunua.Yanga wananunua mechi ukiachana na maswala ya ushirikina.