IFFHS Ranking: Simba SC ya tisa, Yanga haimo

IFFHS Ranking: Simba SC ya tisa, Yanga haimo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
e049695977bd46c3a094f663d3e4ac04_340324410_744848337371937_5147152111258572433_n.jpg

IFFHS MEN'S CLUB CONTINENTAL RANKING! πŸ”΄πŸŒ

Top 10 (1 April 2022 – 31 March 2023)
1. Al Ahly. 217 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
2. Wydad AC. 175 points πŸ‡²πŸ‡¦
3. Zamalek SC. 163 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
4. Pyramids FC. 142.5 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
5. Al Hilal. 134.25 points πŸ‡ΈπŸ‡©
6. Raja. 127.5 points πŸ‡²πŸ‡¦
7. Future FC. 125.75 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
8. Mamelodi 123.5 points πŸ‡ΏπŸ‡¦
9. Simba SC. 122 points πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
10. FAR Rabat. 114.5 points πŸ‡²πŸ‡¦

IFFHS
 
View attachment 2586207

IFFHS MEN'S CLUB CONTINENTAL RANKING! πŸ”΄πŸŒ

Top 10 (1 April 2022 – 31 March 2023)
1. Al Ahly. 217 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
2. Wydad AC. 175 points πŸ‡²πŸ‡¦
3. Zamalek SC. 163 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
4. Pyramids FC. 142.5 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
5. Al Hilal. 134.25 points πŸ‡ΈπŸ‡©
6. Raja. 127.5 points πŸ‡²πŸ‡¦
7. Future FC. 125.75 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
8. Mamelodi 123.5 points πŸ‡ΏπŸ‡¦
9. Simba SC. 122 points πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
10. FAR Rabat. 114.5 points πŸ‡²πŸ‡¦

Ndo takataka gani hii?
 
Uzi kama huu Jf ndio uzi uliorudiwa mara nyingi katika historia ya Jf cheki chini similar topic kwa uchache utakuta mfano wa uzi huu upo.
Hata akili ya kutofautisha nyakati huna? IFFHS hutoa kila baada ya muda fulani. Mara ya mwisho ilikuwa February 2023
 
Ni suala la muda watani wetu Yanga watatuacha. Kwanza nawatabiria kufika fainali ya kombe la shirikisho. Timu ngumu ni za Morocco tu na fainali ni moja tu, lolote linaweza kutokea. Kwa kweli nawapongeza kwa maendeleo ya kisoka wanayaofanya, miaka mingi hawakufika makundi na sasa wanauhakika na nusu fainali.

Msimu ujao watakuwa Champions league na nawaona wakiendelea kufika hatua za mtoano, kama Simba timu yetu haiko vizuri tunafika mtoano Yanga kuanzia msimu ujao watafika na kuingia nusu fainali na kuweka rekodi zaidi.
 
Ni suala la muda watani wetu Yanga watatuacha. Kwanza nawatabiria kufika fainali ya kombe la shirikisho. Timu ngumu ni za Morocco tu naa fainali ni moja tu, lolote linaweza kutokea. Kwa kweli nawapongeza kwa maendeleo ya kisoka wanayaofanya, miaka mingi hawakufika makundi na sasa wanauhakika na nusu fainali. Msimu ujao watakuwa Champions league na nawaona wakiendelea kufika hatua za mtoano, kama Simba timu yetu haiko vizuri tunafika mtoano Yanga kuanzia msimu ujao watafika na kuingia nusu faibali na kuweka rekodi zaidi.
Ona huyu bwege anajifichia kwenye Simba. Timu mbovu inafika robo fainali? Yaani kati ya timu 1000 zimebaki timu nane bora. Halafu unasema timu sio nzuri
 
Ona huyu bwege anajifichia kwenye Simba. Timu mbovu inafika robo fainali? Yaani kati ya timu 1000 zimebaki timu nane bora. Halafu unasema timu sio nzuri
Kama ni mtu wa mpira na mshabiki wa Simba unajua kuwa timu yetu haiko katika ubora unaotakiwa. Huwezi kufananisha na Yanga kwa sasa, ndio maana yangu hiyo kufananisha na Yanga. Yanga kwa sasa ni bora zaidi ya Simba hilo halina ubishi. Na sioni sababu ya kutumia matusi kama wewe ni mtu wa mpita tujibu kwa hoja tu
 
View attachment 2586207

IFFHS MEN'S CLUB CONTINENTAL RANKING! πŸ”΄πŸŒ

Top 10 (1 April 2022 – 31 March 2023)
1. Al Ahly. 217 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
2. Wydad AC. 175 points πŸ‡²πŸ‡¦
3. Zamalek SC. 163 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
4. Pyramids FC. 142.5 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
5. Al Hilal. 134.25 points πŸ‡ΈπŸ‡©
6. Raja. 127.5 points πŸ‡²πŸ‡¦
7. Future FC. 125.75 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
8. Mamelodi 123.5 points πŸ‡ΏπŸ‡¦
9. Simba SC. 122 points πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
10. FAR Rabat. 114.5 points πŸ‡²πŸ‡¦

Ndio furaha yenu ilipobakia. Mtaongea nini kingine? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Back
Top Bottom