IFFHS Ranking: Simba SC ya tisa, Yanga haimo

Kwa hiyo tukae na kuamini kabisa kuwa Mmewazidi mpaka Esperance ?
 
we kiazi wa utopolo! sema tu mpira hujui.. unavamia fani za watu.. yanga pale ni kwamba wachezaji wao wamechangamka lakini sio bora kama Simba....
 
Ila yeye kutuita mbumbumbu ni sawa? Ukituanza tunakumaliza. Na amekula shombo zaidi ya hilo. That is it
Sasa mbona mwanzilishi wa hilo neno, mpaka leo mnamuenzi kama mmoja wa viongozi wenu shupavu! Na kwa nini hamkumaliza kwanza yeye, siku ile ya mkutano?

Kuna utani mwingine hamtakiwi kuuchukulia kwa uzito kivile, mpaka kufikia hatua ya kuwahusisha na wazazi wetu.
 
Hilo ni tusi sio utani. Majina ya utani yanajulikana.
 
Hilo ni tusi sio utani. Majina ya utani yanajulikana.
Mpaka kesho siwezi kuamini kama neno mbumbumbu ni tusi. Kwangu mimi, mbumbumbu ni mtu tu mjuaji.

Na kama lingekuwa hilo neno ni tusi, basi Mwenyekiti wenu mstaafu Ismail Aden Rage, asingediriki kuwatukana hadharani kwenye ule mkutano wenu; halafu akabaki salama mle ukumbini siku ile.
 
Mbona nilivyomuita maza wa jamaa mbumbumbu ukahamaki? Au hukuwa wewe mkuu?
 
Mbona nilivyomuita maza wa jamaa mbumbumbu ukahamaki? Au hukuwa wewe mkuu?
Hapana! Siyo mimi. Tate Mkuu ana ID moja tu humu jukwaani.

Mimi huwa sioni tu kama ni busara sana kuwahusisha wazazi wetu pale tunapo tofautiana kwenye hili jukwaa.

Imagine unamhusisha mtu na mzazi wake ambaye amefariki, ni mgonjwa yuko kitandani, nk! Isitoshe wengi wetu humu jukwaani tupo hapa duniani kwa sababu ya wazazi! Hivyo tunatakiwa kuwaheshimu, na kuwaenzi.
 
Achana nae huyo hanirudii tena kwa matusi niliyompa hili akikaa na mabwana zake huko wayafanyie focus Group Discussion mwenzie Genta ananijua vizuri ukianza namaliza...
 
Mameload pamoja ubora wao nafasi nfo hiyo.... We kapuku Yanga hapo kuingia mpaka miaka minne au sita mbele!
 
Ona huyu bwege anajifichia kwenye Simba. Timu mbovu inafika robo fainali? Yaani kati ya timu 1000 zimebaki timu nane bora. Halafu unasema timu sio nzuri
Umeamini maneno yangu Yanga wanaenda fainali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…