mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Haina shida MkuuHakuna cha mkweli mkuu wewe ni Yanga ha ha usiogope kujitangaza waziwazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina shida MkuuHakuna cha mkweli mkuu wewe ni Yanga ha ha usiogope kujitangaza waziwazi
sawaKama simba hii ndiyo mbovu na iko robo Yanga ni mbovu sana ndiyo maana ilifurushwa itoke champions league
Sawa sawaWewe ni Yanga na Yanga ipo vizuri, sasa kelele za nini
Kwa hiyo tukae na kuamini kabisa kuwa Mmewazidi mpaka Esperance ?
IFFHS MEN'S CLUB CONTINENTAL RANKING! [emoji837][emoji288]
Top 10 (1 April 2022 – 31 March 2023)
1. Al Ahly. 217 points [emoji1093]
2. Wydad AC. 175 points [emoji1173]
3. Zamalek SC. 163 points [emoji1093]
4. Pyramids FC. 142.5 points [emoji1093]
5. Al Hilal. 134.25 points [emoji1232]
6. Raja. 127.5 points [emoji1173]
7. Future FC. 125.75 points [emoji1093]
8. Mamelodi 123.5 points [emoji1221]
9. Simba SC. 122 points [emoji1241]
10. FAR Rabat. 114.5 points [emoji1173]
Mambwiga yanafarijianaKwa hiyo tukae na kuamini kabisa kuwa Mmewazidi mpaka Esperance ?
we kiazi wa utopolo! sema tu mpira hujui.. unavamia fani za watu.. yanga pale ni kwamba wachezaji wao wamechangamka lakini sio bora kama Simba....Kama ni mtu wa mpira na mshabiki wa Simba unajua kuwa timu yetu haiko katika ubora unaotakiwa. Huwezi kufananisha na Yanga kwa sasa, ndio maana yangu hiyo kufananisha na Yanga. Yanga kwa sasa ni bora zaidi ya Simba hilo halina ubishi. Na sioni sababu ya kutumia matusi kama wewe ni mtu wa mpita tujibu kwa hoja tu
Sawawe kiazi wa utopolo! sema tu mpira hujui.. unavamia fani za watu.. yanga pale ni kwamba wachezaji wao wamechangamka lakini sio bora kama Simba....
Hii comment ni ushahidi tosha wewe na yule ndugu yako Popoma, akili zenu ni sawa.Mbumbumbu mama yako. Nani kakuita kusoma
Ila yeye kutuita mbumbumbu ni sawa? Ukituanza tunakumaliza. Na amekula shombo zaidi ya hilo. That is itHii comment ni ushahidi tosha wewe na yule ndugu yako Popoma, akili zenu ni sawa.
Sasa mbona mwanzilishi wa hilo neno, mpaka leo mnamuenzi kama mmoja wa viongozi wenu shupavu! Na kwa nini hamkumaliza kwanza yeye, siku ile ya mkutano?Ila yeye kutuita mbumbumbu ni sawa? Ukituanza tunakumaliza. Na amekula shombo zaidi ya hilo. That is it
Hilo ni tusi sio utani. Majina ya utani yanajulikana.Sasa mbona mwanzilishi wa hilo neno, mpaka leo mnamuenzi kama mmoja wa viongozi wenu shupavu! Na kwa nini hamkumaliza kwanza yeye, siku ile ya mkutano?
Kuna utani mwingine hamtakiwi kuuchukulia kwa uzito kivile, mpaka kufikia hatua ya kuwahusisha na wazazi wetu.
Mpaka kesho siwezi kuamini kama neno mbumbumbu ni tusi. Kwangu mimi, mbumbumbu ni mtu tu mjuaji.Hilo ni tusi sio utani. Majina ya utani yanajulikana.
Mbona nilivyomuita maza wa jamaa mbumbumbu ukahamaki? Au hukuwa wewe mkuu?Mpaka kesho siwezi kuamini kama neno mbumbumbu ni tusi. Kwangu mimi, mbumbumbu ni mtu tu mjuaji.
Na kama lingekuwa hilo neno ni tusi, basi Mwenyekiti wenu mstaafu Ismail Aden Rage, asingediriki kuwatukana hadharani kwenye ule mkutano wenu; halafu akabaki salama mle ukumbini siku ile.
Hapana! Siyo mimi. Tate Mkuu ana ID moja tu humu jukwaani.Mbona nilivyomuita maza wa jamaa mbumbumbu ukahamaki? Au hukuwa wewe mkuu?
Achana nae huyo hanirudii tena kwa matusi niliyompa hili akikaa na mabwana zake huko wayafanyie focus Group Discussion mwenzie Genta ananijua vizuri ukianza namaliza...Hapana! Siyo mimi. Tate Mkuu ana ID moja tu humu jukwaani.
Mimi huwa sioni tu kama ni busara sana kuwahusisha wazazi wetu pale tunapo tofautiana kwenye hili jukwaa.
Imagine unamhusisha mtu na mzazi wake ambaye amefariki, ni mgonjwa yuko kitandani, nk! Isitoshe wengi wetu humu jukwaani tupo hapa duniani kwa sababu ya wazazi! Hivyo tunatakiwa kuwaheshimu, na kuwaenzi.
Mameload pamoja ubora wao nafasi nfo hiyo.... We kapuku Yanga hapo kuingia mpaka miaka minne au sita mbele!
IFFHS MEN'S CLUB CONTINENTAL RANKING! 🔴🌍
Top 10 (1 April 2022 – 31 March 2023)
1. Al Ahly. 217 points 🇪🇬
2. Wydad AC. 175 points 🇲🇦
3. Zamalek SC. 163 points 🇪🇬
4. Pyramids FC. 142.5 points 🇪🇬
5. Al Hilal. 134.25 points 🇸🇩
6. Raja. 127.5 points 🇲🇦
7. Future FC. 125.75 points 🇪🇬
8. Mamelodi 123.5 points 🇿🇦
9. Simba SC. 122 points 🇹🇿
10. FAR Rabat. 114.5 points 🇲🇦
IFFHS
Umeamini maneno yangu Yanga wanaenda fainaliOna huyu bwege anajifichia kwenye Simba. Timu mbovu inafika robo fainali? Yaani kati ya timu 1000 zimebaki timu nane bora. Halafu unasema timu sio nzuri