IFFHS yatoa timu 10 bora za CAF, Simba ya 9

Ao jamaa tangu wajue Simba ni ma Mbumbumbu basi kazi Yao ni kuwa pamba Kwa kuwapikia Data za mchongo.
Na walivyokua Awana adabu Kuna siku Simba atawekwa namba Moja ndipo watakapo stuka[emoji2][emoji2][emoji2]
Ukitaka kupendwa na mjinga msifie
 
Mbona sisi utopolo tunaonewa na kubaguliwa sana na hawa CAF? Simba wanatoa mlungula huko CAF.
 
Kwa point simba inazidi mazembe eeeeehhhhh
 
Sawa hata kama sa ndo mshike mkia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20th out of 20 aaah bana

 
Soma huu uzi hapa chini, mmeshuka kiwango, mmekuwa wa 10 sasa..!! Halafu Yanga ambaye hakuwepo sasa ni wa 9..!! Hatari

 
Subiri uone kama atasoma.
 
Duuuuuuuh! Unatamani muda urudi nyuma ufute huu Uzi lakini ndo basi tena
 
YANGA WATAUA WATU MWAKA HUU...MNATENGENEZA VITU LKN HAVITENGENEZEKI ULIMWENGU NI MDOGO SANA KWENYE NYAKATI HIZI ZA TEKNOLOJIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…