ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Nov 5, 2023 #141 OKW BOBAN SUNZU said: Mmewezaje kuwa bora kuliko Simba na Sundown. Kama sio utapeli nini Jioni hizi propaganda uchwara zitazimwq Click to expand... Ukifika nusu fainali utashangaa kua maisha ni simple
OKW BOBAN SUNZU said: Mmewezaje kuwa bora kuliko Simba na Sundown. Kama sio utapeli nini Jioni hizi propaganda uchwara zitazimwq Click to expand... Ukifika nusu fainali utashangaa kua maisha ni simple
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Nov 5, 2023 Thread starter #142 Brigedia Gen said: Ubora wa Simba ni upi haijawahi kuvuka robo kwenye mashindano yoyote? Click to expand... Nikadhani utasema haijawahi kuchukua kombe kama ilivyochukua Yanga
Brigedia Gen said: Ubora wa Simba ni upi haijawahi kuvuka robo kwenye mashindano yoyote? Click to expand... Nikadhani utasema haijawahi kuchukua kombe kama ilivyochukua Yanga
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Nov 5, 2023 #143 OKW BOBAN SUNZU said: Nikadhani utasema haijawahi kuchukua kombe kama ilivyochukua Yanga Click to expand... Fika kwanza final ndio tujadili
OKW BOBAN SUNZU said: Nikadhani utasema haijawahi kuchukua kombe kama ilivyochukua Yanga Click to expand... Fika kwanza final ndio tujadili
vibertz JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 2,474 Reaction score 4,726 Sep 22, 2024 #144 Kichaka cha IFFHS kimeshafekwa kitambo sana. Yanga imeshamu overtake Simba halafu ni kwenye mlima.