IFFHS yatoa timu 10 bora za CAF, Simba ya 9

IFFHS yatoa timu 10 bora za CAF, Simba ya 9

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20230312-102045_Gallery.jpg

IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF
1. Ahly - 220 points
2. Wydad - 170 points
3. Zamalek - 154 points
4. Pyramids- 140.5 points
5. Al Hilal - 132.75 points
6. Mamelodi- 127 points
7. CR Belouzidad - 117.75 points
8. Raja Casablanca - 117 points
9. Simba SC - 113 points
10. Petro Luanda - 112 points

Nakutafunia
Yaani ukiwatoa waarabu inabaki Mamelod kisha Simba Sc tu. Baaaasi
 
Timu no 9 Kwa u Bora isiyo na kombe lolote hata la uji Mwaka wa pili huu[emoji23][emoji23][emoji23]

Na washabiki wake hao wanafurahi[emoji23][emoji23]
Ni sawa na CCM kuwaambia Wananchi wake kuwa Pato la mtanzania limekuwa wakati Wananchi hata Milo miwili hawawezi kuimudu[emoji848][emoji848]
 
Timu no 9 Kwa u Bora isiyo na kombe lolote hata la uji Mwaka wa pili huu[emoji23][emoji23][emoji23]

Na washabiki wake hao wanafurahi
Ni sawa na CCM kuwaambia Wananchi wake kuwa Pato la mtanzania limekuwa wakati Wananchi hata Milo miwili hawawezi kuimudu
Acha makasiriko!!

Hiyo Orodha haijatolewa na Ahmed Ally sasa inakuwaje unawalaumu mashabiki wa Simba. Kwa Afrika unadhani kuna mataifa mangapi. Yapo mataifa 55 na kote huko kuna Ligi na mabingwa wao.

Kwenye hiyo Orodha suala la kuwemo si kuwa na kombe la ligi bali ubora wa timu.
 
Timu no 9 Kwa u Bora isiyo na kombe lolote hata la uji Mwaka wa pili huu[emoji23][emoji23][emoji23]

Na washabiki wake hao wanafurahi[emoji23][emoji23]
Ni sawa na CCM kuwaambia Wananchi wake kuwa Pato la mtanzania limekuwa wakati Wananchi hata Milo miwili hawawezi kuimudu[emoji848][emoji848]
Umepiga kwenye mshono.. Rage aliona mbali sana
 
Timu no 9 Kwa u Bora isiyo na kombe lolote hata la uji Mwaka wa pili huu[emoji23][emoji23][emoji23]

Na washabiki wake hao wanafurahi[emoji23][emoji23]
Ni sawa na CCM kuwaambia Wananchi wake kuwa Pato la mtanzania limekuwa wakati Wananchi hata Milo miwili hawawezi kuimudu[emoji848][emoji848]
Kuchukua kombe sio mafanikio pekee. Ndio maana kila hatua kuna zawadi. Morocco hawakuchukua kombe world cup ila kwa hatua waliofika ni mafanikio makubwa tu. Timu inayojielewa haiwezi kumsifia kocha kwa kumpigia makofi kwa unbeaten ya ligi yenye timu zinazokosa nauli mbaya zaidi ni unbeaten ya mchongo.
 
Back
Top Bottom