mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Hicho kitengo cha SARS kimefutwa, halafu kimeundwa kipya kinaitwa SWAT halafu wameweka watu walewale waliokuwa kwenye kitengo cha SARS. Kwa hiyo raia wameona wanafanyiwa uhuni.Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS.
Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency....
Ili serikali ipunduliwe?Kwani wangewaacha waendelee kuandamana tu ingekuwaje?
Dina maandamano yasiokuwa na kikomo ni mapinduzi. Jeshi kazi yake ni kuzuia viashiria vyovyote vya kuipindua serikali.Kwani wangewaacha waendelee kuandamana tu ingekuwaje?
[QUOTE="mr gentleman, post:
Au ni ile laana yetu ya asili kwa ngozi nyeusi ndio inafanya kazi huko?
Africa kuna mambo uwa tunafanya ni ya kijinga sana na imekuwa ni asili yetu.Tuna laana?
Nyie ndo mnaifanya afrika liitwe bara la giza.
Tafadhari badilika, na badili mitazamo yako.
Wao walitaka watu wa SWAT watoke wapi?Hicho kitengo cha SARS kimefutwa, halafu kimeundwa kipya kinaitwa SWAT halafu wameweka watu walewale waliokuwa kwenye kitengo cha SARS. Kwa hiyo raia wameona wanafanyiwa uhuni.
Then lazima mpigwe risasi, kama hammtaki buhari subirini boksi la kura sio kuingia mtaani.We want BUHARI out
Mkuu laana unayo wewe peke hako na Jamaa zako , mimi nitoe kwenye hilo kundiChanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS.
Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency...
Ukumbuke hao SARS sio police force yote, wanaweza kuchukua askari wa kawaida na kuwapa mafunzo maalum, na serikali ndio iliahidi hivyo na kusisitiza kuwa hakuna askari wowote aliyekuwa SARS atakubaliwa kujiunga kwa ajili ya mafunzo ya kikosi kipya. Kilichofanywa ni kama kumpaka punda rangi ili ageuke kuwa pundamilia .Wao walitaka watu wa SWAT watoke wapi?
Yani mfano leo ukiivunja FFU unaenda kuwapata wapi watu wa unit mpya ya kuzuia vurugu?
Wana mambo ya ajabu sana.Wao walitaka watu wa SWAT watoke wapi?
Yani mfano leo ukiivunja FFU unaenda kuwapata wapi watu wa unit mpya ya kuzuia vurugu?
Mambo haya ya kikatili tunayoendekeza ndiyo yanazidisha laana kwa waafrika. Belarus wana kama mwezi wanaandamana kila siku lakini hakuna mauaji ya binadamu.Dina maandamano yasiokuwa na kikomo ni mapinduzi. Jeshi kazi yake ni kuzuia viashiria vyovyote vya kuipindua serikali.