hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
umeona ya congo juzikati hapa mkuu??
walilazwa raia kama kuku,zilizagaa video tupu mitandaoni.
yaani unapoandamana hakikisha nyuma yako ipo haki tu,sio msukumo kutoka sehemu,utauwawa tu.ili kupisha amani itawale.angalia wajinga wameanza kuchoma mali za uma,vituo vya mabasi ya mwendokasi nk.
Africa bado tuna safari ndefu sana