Ifike hatua Waafrika tuache ujinga. Hivi Nigeria maandamano yao yanataka Serikali ifanye nini ili waache?

Ifike hatua Waafrika tuache ujinga. Hivi Nigeria maandamano yao yanataka Serikali ifanye nini ili waache?

umeona ya congo juzikati hapa mkuu??
walilazwa raia kama kuku,zilizagaa video tupu mitandaoni.


yaani unapoandamana hakikisha nyuma yako ipo haki tu,sio msukumo kutoka sehemu,utauwawa tu.ili kupisha amani itawale.angalia wajinga wameanza kuchoma mali za uma,vituo vya mabasi ya mwendokasi nk.

Africa bado tuna safari ndefu sana
 
Kuna Mambo Ambayo Watu hua wanayafanya na hayana faida Ila hasara tu.

Mfano Nigeria Wanasema Wanaandamana ili kupinga namna Polisi inavyojiendesha

Tena wanaandamana na kuingia Barabaran bila kuwa na Azimio la nini kifanyike ili waweze kusitisha Maandamano

Mfano nikuulize swali waandamanaj wa Nigeria wanataka Nini kifanyike? Kuna mwenye jibu?
 
Ungekuwa Nigeria alafu uzungumze hivi Watu wangekugawagawa. We ushasikia huko watu wamechoshwa na unyanyasaji wa polisi kikosi maalum, watu wamechoka na corruption na utawala wa ajabu.

Hivi umeona leo wanavyochoma moto na kuvamia vituo vya polisi na kuchoma nyumba baadhi za viongozi na ndg zao
Hapa labda jeshi imtoe kinguvu rais wa nchi hiyo ili kuwapoza wananchi

Ova
 
Waache wapambane na Hali zao.

Kuona damu za watu zinamwagika kuna raha yake.
 
Kuna Mambo Ambayo Watu hua wanayafanya na hayana faida Ila hasara tu...
Wewe unaona hayana faida, tumia muda fuatilia kwa undani hilo suala siyo unawalaumu tu wakati huna taarifa za kutosha kuhusu chanzo cha mandamano hayo na je SARS wamefanya mabaya gani ambayo watu wameamua kuandamana.
 
Kwaio wanataka Rais atoke? Mbona source ya maandamano Sio Rais ni police
Ndiyo police Hicho kikosi cha ant robbery, Kimekuwa kikiwafanyia unyama watu, Watu wameamua kuchukua hatua wenyewe
Kama unavyojua Nigeria walivyowengi

Na kwenye msafara wa mamba kenge wapo. Kuna wengine vurugu hizo wafanya uwizi. Nyumba za viongozi na familia zao zinavamiwa
Polisi wanashindwa kujigawa kwenda kuzuia

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Waache wapambane na Hali zao.
Kuona damu za watu zinamwagika kuna raha yake.
Hiyo ndiyo Inaitwa nguvu ya watu, Watu wakiamua ni shida kuwatuliza, Inataka busara ya Hali ya juu
Lakini ukiwaletea ubabe nao wanaleta ubabe, Maana wenyewe wanakwambia wako wengi

Nyie askari wachache na sasa hivi Wana target familia zao hatariii

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Ila si unajua serikali Haina Cha kupoteza?
Hiyo ndiyo Inaitwa nguvu ya watu
Watu wakiamua ni shida kuwatuliza
Inataka busara ya Hali ya juu
Lkn ukiwaletea ubabe nao wanaleta ubabe
Maana wenyewe wanakwambia wako wengi
Nyie askari wachache na sahv Wana target familia zao hatariii

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom