Ifike hatua Waafrika tuache ujinga. Hivi Nigeria maandamano yao yanataka Serikali ifanye nini ili waache?

Ifike hatua Waafrika tuache ujinga. Hivi Nigeria maandamano yao yanataka Serikali ifanye nini ili waache?

Ukumbuke hao SARS sio police force yote, wanaweza kuchukua askari wa kawaida na kuwapa mafunzo maalum, na serikali ndio iliahidi hivyo na kusisitiza kuwa hakuna askari wowote aliyekuwa SARS atakubaliwa kujiunga kwa ajili ya mafunzo ya kikosi kipya. Kilichofanywa ni kama kumpaka punda rangi ili ageuke kuwa pundamilia .

Establishment, Composition and Training of Nigeria Police SWAT to Replace the Disbanded SARS
Huyo jamaa si mtu wa kawaida, anashabikia kumwaga damu!
Ajue hicho kitendo hata wanajeshi wenyewe ambao ndio wametekeleza hawajisikii vizuri kabisa.
Kumuua mtu anayedai haki inaleta feelings mbaya sana kwa mtu aliyefyatua hilo risasi.
 
Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS.

Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency.

Ila naona wanaijeria bado wanaandamana wanafanya vurugu na jana jeshi limeingilia na kuua baadhi ya waandamanaji.

Swali langu au nisichoelewa kama waandamanaji walipewa walichotaka kwa nini maandamano yanaendelea wanachotaka ni nini?

Au ni ile laana yetu ya asili kwa ngozi nyeusi ndio inafanya kazi huko?
SARS imefutwa kwa Mdomo ila bado ipo, na Bado ipo Kazini!
 
Africa kuna mambo uwa tunafanya ni ya kijinga sana na imekuwa ni asili yetu.
Hata Kama.

Hakuna nchi au bara lisilo naambo ya ajabu.sema sisi waafirika tunajionaga duni Sana sijajua kwa nini.

Tafadhari badili mitazamo na anza kujipenda.
 
Ndio maana tunasema madai yoyote ya haki yakisukumwa kimihemko hayazai matunda yaliyokusudiwa.

Hamtaki SARS, imetolewa.mnataka muipangie serikali namna ya kufanya sasa! mwisho mtataka na polisi wote watolewe maana hawafuati misingi ya haki.
 
ndio maana tunasema madai yoyote ya haki yakisukumwa kimihemko hayazai matunda yaliyokusudiwa.

hamtaki SARS,imetolewa.mnataka muipangie serikali namna ya kufanya sasa!!!mwisho mtataka na polisi wote watolewe maana hawafuati misingi ya haki.

Kwani hiyo serikali ipo kwa ajili ya Nani?
 
Ndio shida ya serikali za Africa bado Zina mambo ya kikaburu

Kwani Hiko wanachokipanga kinataka kufanya kazi kwa niaba ya Nani?

usiseme za kiafrica.ni serikali zote.
si kila jambo linapangwa kwa ajiri ya wananchi.

mengine ni kwa ajiri ya serikali tu.
 
usiseme za kiafrica.ni serikali zote.
si kila jambo linapangwa kwa ajiri ya wananchi.

mengine ni kwa ajiri ya serikali tu.

Serikali za kiafrika zimezidi bwana
Hawana njia nyingine ya kumkabili mtu ambae Hana siraha zaid ya kumuua?
 
Hapo I think Kuna watu ambao hawatakiwi kuwa kwenye uongozi

shida iko hapa.

SARS haiwezi kuwa threat kwa wananchi kiasi cha wao kuandamana,maana inakinzana na kazi za kila siku za wananchi wakati kile ni kitengo maalumu.
 
Serikali za kiafrika zimezidi bwana
Hawana njia nyingine ya kumkabili mtu ambae Hana siraha zaid ya kumuua?

Umeona ya Congo juzikati hapa mkuu?
walilazwa raia kama kuku, zilizagaa video tupu mitandaoni.

yaani unapoandamana hakikisha nyuma yako ipo haki tu, sio msukumo kutoka sehemu, utauwawa tu. Ili kupisha amani itawale, angalia wajinga wameanza kuchoma mali za uma, vituo vya mabasi ya mwendokasi nk.
 
Back
Top Bottom