mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Si umeona mali za kiongozi wa huko tinubu zinavyoshambuliwaIla si unajua serikali Haina Cha kupoteza?
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si umeona mali za kiongozi wa huko tinubu zinavyoshambuliwaIla si unajua serikali Haina Cha kupoteza?
Watu wanatumia nafasi za machungu, usongo waliyokuwa nazo kutimiza malengo yaoSARS hawatakiwi lakini kingine Rushwa, ukosefu wa ajira yote hayo yanachangia na uongozi mbovu hivo waache wapiganie haki zao
Ndio muelewe haki huinua taifa! Kila mtu kwa nafasi yake aliyopewa akiwa mtenda haki na kuwajibika basi amani na mshikamano hushamiri!umeona ya congo juzikati hapa mkuu??
walilazwa raia kama kuku,zilizagaa video tupu mitandaoni.
yaani unapoandamana hakikisha nyuma yako ipo haki tu,sio msukumo kutoka sehemu,utauwawa tu.ili kupisha amani itawale.angalia wajinga wameanza kuchoma mali za uma,vituo vya mabasi ya mwendokasi nk.
Kwanza jua kuwa wana lockdown ya corona (so awana kazi wengi wao na hii kwao ni fursa ya kutoka nje)Kuna Mambo Ambayo Watu hua wanayafanya na hayana faida Ila hasara tu...
Anapost kutokea Manzese huyo...Mpaka sasa sijaelewa kama mtoa mada anauliza swali akitaka kujua hqli ya Nigeria au anakemea WaNigeria kwa kuwa yeye anaijua zaidi hali ya Wa Nigeria kuliko wao Wa Nigeria wenyewe.
Wamechoma Tv station yake yote na mali zake zingine hao waandamanaji wakimtia mkononi tinubu [emoji23][emoji23][emoji23]watamgawagawaKwanza jua kuwa wana lockdown ya corona(so awana kazi wengi wao na hii kwao ni fursa ya kutoka nje)
2.Ukosefu wa ajira,rushwa,na ukosefu wa fulsa ...
🤣🤣🤣 Madogo awataki mchezo mchezo watamgawana kama vipande vya mshikaki!! Ila ameshakimbilia UK na ndege yakeWamechoma Tv station yake yote,na mali zake zingine hao waandamanaji wakimtia mkononi tinubu[emoji23][emoji23][emoji23]watamgawagawa
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ndio muelewe haki huinua taifa!Kila mtu kwa nafasi yake aliyopewa akiwa mtenda haki na kuwajibika basi amani na mshikamano hushamiri!
Kuna mengi ya kujifunza kupitia kwa wenzetu!Vyombo vyetu vya dola vitende haki muda wote!
Ndio maana unaona kina Magufuli wanaogopa nguvu ya umma, ni kitu kingine kabisa hasira zote zitaishia kwao!Wamechoma Tv station yake yote,na mali zake zingine hao waandamanaji wakimtia mkononi tinubu[emoji23][emoji23][emoji23]watamgawagawa
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Machafuko yaangalie kideoni ndugu yangu,, haujawai kupata feeling upo kwenye mishe zako unapokea simu mama yako amekatwa kichwa, au mkeo au mwanao wa kike amelf** lwa kabla yankuchinjwa.
Acha kabisa, tupiganie amani amani.
mkuu ukishaona maandamano yameanza basi tambua serikali inaelekea kuondolewa madarakani..........Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS.
Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency.
Ila naona Wanaijeria bado wanaandamana wanafanya vurugu na jana jeshi limeingilia na kuua baadhi ya waandamanaji.
Swali langu au nisichoelewa kama waandamanaji walipewa walichotaka kwa nini maandamano yanaendelea wanachotaka ni nini?
Au ni ile laana yetu ya asili kwa ngozi nyeusi ndio inafanya kazi huko?
Malalamiko yalikuwepo muda mrefu!Sio suala la kukurupuka tu na kuandamana!Lakini serikali ilitia pamba muda wote na ndio maana yamefikia hapa!Hapo juu nimesisitiza juu ya kutenda haki kwa kila mtu katika nafasi yake!mkuu haki hupata cheti cha kutambulika kwa kutegemea anayeitizama amekaa wapi.
wananchi wanaona SARS ni kirusi,serikali inaona ni chombo chake cha kuhudumia wananchi,kikubwa ni busara ya kukubaliana na tofauti hizo na kuamua kujenga chombo kitakachotoa huduma katika namna itakayovumiliwa upande wote.
fikiria leo wananchi waandamane sababu hawataki kitengo cha usalama barabarani sababu wanachukua rushwa,serikali inaamua kusikiliza inakifuta.lakini wananchi wanarudi barabarani sababu hawana imani na kitengo kipya kilochoundwa,kabla hata hawajapima mwenendo wake wa utendaji.ni wazi watakuwa wanahitaji jambo jingine.
Ndio mana tunasema uchaguzi uwe huru na haki maana bila hivyo wataumia wanaohusika na wasiohusika!ndio sababu tunapiga kelele kila siku,msipende kuchezea amani.
mavichaa machache yanaamua kuingia barabarani kufanya fujo,sio maandamano maana mpaka mali za umaa zinachomwa moto sasa,utasema wana nia njema na taifa lao hawa kama sio vichaa tu waliokata tamaa na kesho yao!!!!wacha wafe pumbavu.
Wabepari wameshatia mkono wao hapo mbona hatari mungu saidia tanzania na hili balaaChanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS.
Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency.
Ila naona Wanaijeria bado wanaandamana wanafanya vurugu na jana jeshi limeingilia na kuua baadhi ya waandamanaji.
Swali langu au nisichoelewa kama waandamanaji walipewa walichotaka kwa nini maandamano yanaendelea wanachotaka ni nini?
Au ni ile laana yetu ya asili kwa ngozi nyeusi ndio inafanya kazi huko?
Sio wapuuzi,huenda wao pia wameumizwa kwa namna nyingine na wamepatia sehemu ya kutolea hasira zao!kwani wanaigeria ni malaika???
nao wana wapuuzi kibao tu,ambao unaweza kuwatumia kwa manufaa yako,ref boko haram.
...wameshaingiza siasaWanachotaka ni mageuzi ya jeshi la polisi.
Hivi sasa, wengine wamekwenda mbali zaidi na kumtaka Buhari ajiuzulu.
J K Nyerere sijui aliwezaje kuivunja KAR (King African Rifle) na kuunda mara moja JWTZ kwa askari walewale waliotaka kumpindua, labda aulizwe Gen. SarakikyaWao walitaka watu wa SWAT watoke wapi?
Yani mfano leo ukiivunja FFU unaenda kuwapata wapi watu wa unit mpya ya kuzuia vurugu?