Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yaeleke huko mkuu mm naunga mkono maana wanasiasa wa Nigeria wame zidi kwa ufisadi.Maandamano yalikuwa ya kupinga ukatili wa polisi ila kwa sasa yanaelekea kuchukua mkondo wa kisiasa.
Inekuwa haina cha kupoteza bashir asingekuwa jera.Ila si unajua serikali Haina Cha kupoteza?
Upupu.Sasa km wewe hutaki kutafuta habari ndio unakuja humu na ujinga wako unajifanya mfikiriaji mkubwa.Wewe wala huhitaji kuambiwa ni wa kuachwa tu.Kuna Mambo Ambayo Watu hua wanayafanya na hayana faida Ila hasara tu.
Mfano Nigeria Wanasema Wanaandamana ili kupinga namna Polisi inavyojiendesha
Tena wanaandamana na kuingia Barabaran bila kuwa na Azimio la nini kifanyike ili waweze kusitisha Maandamano
Mfano nikuulize swali waandamanaj wa Nigeria wanataka Nini kifanyike? Kuna mwenye jibu?
Hujui jambo huwa linazua Jambo.unafikiri hivyo vikosi maalumu vya polisi viliundwa bila idhini ya rais.Na hayo wanayoyafanya polisi rais hayaoni.Ni rais dhaifu,ufisadi uliokithiri.Kwahiyo wanataka Rais atoke? Mbona source ya maandamano Sio Rais ni police
Umetoka usingizini bila shaka. Serikali inatakiwa iondoke halafu haina cha kupoteza.Kweli ujinga ni kipaji.Ila si unajua serikali Haina Cha kupoteza?
Inekuwa haina cha kupoteza bashir asingekuwa jera.
Umetoka usingizini bila shaka. Serikali inatakiwa iondoke halafu haina cha kupoteza.Kweli ujinga ni kipaji.
Mpumbavu naongea nae mara moja tu.Serikali iondoke iende wapi?.
Nami naungana na mleta thread hii. Pamoja na kuwa sisi hatupo huko Nigeria, lakini tunafuatilia yanayoendekea huko. Bado swali, hao waandamanaji, WANATAKA NINI cha zaidi? Kwa sababu madai yao, yameshughurikiwa.Umetoka usingizini bila shaka. Serikali inatakiwa iondoke halafu haina cha kupoteza.Kweli ujinga ni kipaji.
Yaani mtu mzima unaandika kuwa unafuatilia kinachoendelea halafu bila aibu unasema hujui waandamanaji wanataka nini.Duuuh.Nami naungana na mleta thread hii. Pamoja na kuwa sisi hatupo huko Nigeria, lakini tunafuatilia yanayoendekea huko. Bado swali, hao waandamanaji, WANATAKA NINI cha zaidi? Kwa sababu madai yao, yameshughurikiwa.
Ingekuwa enzi zileeee, tayari jeshi lingeshachukua Nchi!
We jamaa mjinga sanaipo kwa ajiri ya wananchi wake.
lakini haipangiwi cha kufanya na wananchi.
Na nyinyi watawala muache laana ya kuwaona wananchi ni subjects wenu!Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS.
Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency.
Ila naona Wanaijeria bado wanaandamana wanafanya vurugu na jana jeshi limeingilia na kuua baadhi ya waandamanaji.
Swali langu au nisichoelewa kama waandamanaji walipewa walichotaka kwa nini maandamano yanaendelea wanachotaka ni nini?
Au ni ile laana yetu ya asili kwa ngozi nyeusi ndio inafanya kazi huko?
Mimi nili-mblock, takataka zingine piga spanaWe jamaa mjinga sana
kwahiyo unasemaje? Tutawaliwe kama jiwe anavyoua watu?Binadamu wenye akili mbovu ni_____
1.mwarabu
2.mwafrika.
Wakimchukia kiongozi,wanachukia na nchi yao,huwajui uongozi unapita lakni nchi itaendelea kuwepo,binadamu hawahawa wakilikoroga hawawezi kulinywa wanaishia kukimbia.wazungu wao kazi yao nikuvijaza pumzi mgogoro ukikolea jamaaa wanaingia kupiga hela angalia Libya,syria,Iraq hakuna kinachoendelea kiufupi wafrika na waarabu Uhuru hatuuwezi.