Ifike hatua Waafrika tuache ujinga. Hivi Nigeria maandamano yao yanataka Serikali ifanye nini ili waache?

Ifike hatua Waafrika tuache ujinga. Hivi Nigeria maandamano yao yanataka Serikali ifanye nini ili waache?

Tinubu Kala private jet kakimbilia ufaransa,youth huko wamemgumia wanaye
Aise Inabdi serikali iwatulize raia ....

Tatizo viongozi wa nchi za kiafrika wanawaonaga raia kama mafala alafu wao ndy wana hakimiliki ya nchi....Ona sasa Nigeria kinachotokea

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Nilichojifunza mimi siku zote ni muhimu kuielewa jamii kwanza kabla ya kuanza kuihukumu, Nigeria wana matatizo mengi sana, kuanzia Udini, Ukanda mpaka Ukabila, na mara nyingi ukiona shida ya maandamano huwa ni kwamba Uongozi uliopo madarakani ni Dini/Kabila/Kanda tofauti na wale wanaoandamana, hapo walioko Madarakani ni Wafulani na Waislamu wanaopinga ni Waibo na Wakristo, hakuna suluhisho rahisi, ni ugomvi wa Kihistoria hata walishapigana Vita ya kujitenga ya Biafra, ...
 
Au ni ile laana yetu ya asili kwa ngozi nyeusi ndio inafanya kazi huko?

Ngozi nyeusi unamaanisha waafrika weusi ? Kama ndiyo, tuna laana gani ?[/QUOTE]Hizo laana unazo wewe. Waafrika Hawana laana
 
Ngozi nyeusi unamaanisha waafrika weusi ? Kama ndiyo, tuna laana gani ?
Hizo laana unazo wewe. Waafrika Hawana laana[/QUOTE]Nimemquote mleta mada, sikusema waafrika tuna laana, wala mimi sina laana, natumai umenielewa.
 
Hizo laana unazo wewe. Waafrika Hawana laana
Nimemquote mleta mada, sikusema waafrika tuna laana, wala mimi sina laana, natumai umenielewa.[/QUOTE]Nimekusoma.. Mtoa Mada ni bwege tuu
 
Nimemquote mleta mada, sikusema waafrika tuna laana, wala mimi sina laana, natumai umenielewa.
Nimekusoma.. Mtoa Mada ni bwege tuu[/QUOTE]Ni kasumba ya baadhi ya vijana wa kiafrika, tumekuwa na mlolongo wa imani na fikra za ovyo kuhusu uafrika na waafrika
 
wanaelekea kwenye Vita vya wenyewe kwa wenyewe
Waelekee Mara ngapi mkuu,IPOB wanataka wawe huru Ni muda Sasa, Ukiachana SARS,SWAT ,Raia wa IPOB wamekuwa wakifanyiwa unyama wa Hali ya Juu na Fulani's herdsmen wakishirikiana Na polisi/wanajeshi sema Tuu kiongozi wao Nnamdi kanu ndo anatumia busara kuwatuliza igbo's ...Hataki yatokee Kama Yaliyotokea before.
 
Kwahiyo wanataka Rais atoke? Mbona source ya maandamano Sio Rais ni police
Unapaswa kujua kwamba utendaji mbovu au mzuti wa Polisi ni alama ya tabia za Rais. Ukatili wa Polisi ni Ukatili wa Rais. Rais hawezi kuwa mtenda haki Polisi wakawa katili na dhulumati halafu akawavumilia.
 
Serikali za kiafrika zimezidi bwana
Hawana njia nyingine ya kumkabili mtu ambae Hana siraha zaid ya kumuua?
Ukishapewa unachokitaka ukaendelea kudai kingine unastahili kunyooshwa. Unadai changes alafu unaenda kuvamia jela unafungulia wafungwa huo ni uhalifu na ujinga.
 
Wanaaacho maanisha ni kuwa, kama hapa umevunja police yote na umeunda nyingine then inakuwaje afande siro bado awe IGP?
Kwa sababu ndio ana qualifications, uwezi unda unit mpya leo ukatrain watu leo leo hiyo hiyo wakaanze kazi wote. Waafrica tuache ujinga.
 
Nyie c mnaandika tu unacho jskia mnawaona wa nigeria kama wapumbavu, endleen tu kuomba aman ya nchi yenu ila yakiwafka ndo mtajua uchungu wa kumwaga dam, maandamano ayawez kuisha coz dam za ndgu zao zna mwaga na ndo hasira znzid na mkumbuke watu wenye roho ngumu kwenye hili bara ni Nigeria awogopi kitu ! Sahv wanaomba msaada wa bunduki ili vita ianze rasmi show bdo nzito sana ii
 
Nyie c mnaandika tu unacho jskia mnawaona wa nigeria kama wapumbavu, endleen tu kuomba aman ya nchi yenu ila yakiwafka ndo mtajua uchungu wa kumwaga dam, maandamano ayawez kuisha coz dam za ndgu zao zna mwaga na ndo hasira znzid na mkumbuke watu wenye roho ngumu kwenye hili bara ni Nigeria awogopi kitu ! Sahv wanaomba msaada wa bunduki ili vita ianze rasmi show bdo nzito sana ii
Kwa hiyo hiyo vita wanaenda kumuua nani? Na baada ya kuua wanapata nini kipya?
 
All in all,
Sheria na haki vizingatiwe.

Serikali zimekuwa zinasisitiza sheria mara zote

Lakini hawajawahi kuukumbuka wajibu wao wa kuhakikisha haki za watu zinahifadhiwa
 
Kwa sababu ndio ana qualifications, uwezi unda unit mpya leo ukatrain watu leo leo hiyo hiyo wakaanze kazi wote. Waafrica tuache ujinga.

Kwaiyo police ikibomolewa Leo hapa tz hakuna mtu mwenye qualifications kama za Siro? Kwa inchi kama Nigeria yenye wasomi wengi ww unaamini hiyo kitu?

Serikali za Waafrika tu haziwez kujishusha
 
Wa
sijui kwanini wanasisiemu wanapata hofu sana wanaposikia raia wa taifa fulani ndani ya africa wanafanya maandamano dhidi ya viongozi waliopo madarakani?.
Wanaogopa moto unaweza kufika huku
 
Back
Top Bottom