wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 808
Wewe ndo una laana. Acha kuita wenzako wana laana. Kwa taarifa yako. Mtu mweusi ndo the most blessed in this world than anybody. Tukiondoa mali. Mtu mweusi amejaliwa afya, nguvu na akili. We are rich. Stop demonizing your brother. Otherwise you are beberu pretending to be african with your hidden identity.Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS.
Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency.
Ila naona Wanaijeria bado wanaandamana wanafanya vurugu na jana jeshi limeingilia na kuua baadhi ya waandamanaji.
Swali langu au nisichoelewa kama waandamanaji walipewa walichotaka kwa nini maandamano yanaendelea wanachotaka ni nini?
Au ni ile laana yetu ya asili kwa ngozi nyeusi ndio inafanya kazi huko?