Ifike hatua Waafrika tuache ujinga. Hivi Nigeria maandamano yao yanataka Serikali ifanye nini ili waache?

Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS.

Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency.

Ila naona Wanaijeria bado wanaandamana wanafanya vurugu na jana jeshi limeingilia na kuua baadhi ya waandamanaji.

Swali langu au nisichoelewa kama waandamanaji walipewa walichotaka kwa nini maandamano yanaendelea wanachotaka ni nini?

Au ni ile laana yetu ya asili kwa ngozi nyeusi ndio inafanya kazi huko?
Wewe ndo una laana. Acha kuita wenzako wana laana. Kwa taarifa yako. Mtu mweusi ndo the most blessed in this world than anybody. Tukiondoa mali. Mtu mweusi amejaliwa afya, nguvu na akili. We are rich. Stop demonizing your brother. Otherwise you are beberu pretending to be african with your hidden identity.
 
wanakipata wanachokitaka nadhani soon watatunukiwa
Machafuko yoyote africa especially strong african nations kama nigeria, south africa, libya. Jaribu kuchunguza kwa karibu kinachoendelea nyuma ya pazia. Utagundua kuna mabepari yana control na kusababisha hayo yote.
Viongozi wa afrika walio wengi wanatumika na hawana power wakifika kwenye kiti cha uongozi. Na hata kama wakiwa na power wanatafuta njia ya kuwatoa
 
Hata Kama.

Hakuna nchi au bara lisilo naambo ya ajabu.sema sisi waafirika tunajionaga duni Sana sijajua kwa nini.

Tafadhari badili mitazamo na anza kujipenda.
Ni umasikini ndio tatizo,hata ukiangalia maish yetu kwenye familia utaona mtu mwenye uwezo yale mapungufu yake watu wanavyoyachukulia ni tofauti na mapungufu mtu ambaye hana kitu.
 
usiseme za kiafrica.ni serikali zote.
si kila jambo linapangwa kwa ajiri ya wananchi.

mengine ni kwa ajiri ya serikali tu.
Ni kweli na ndiyo maana kuna mambo unakuta ni siri wanajua serikali tu raia wa kawaida hapaswi kujua.
 
Kwani wangewaacha waendelee kuandamana tu ingekuwaje?
Huu ni Ujinga wa waafrica; watu wanasoma ILA hawana MAARIFA
Na wazungu wanapenda tuendelee kuwa hivyo ili waendelee kuchukua raslimali zetu
 
Machafuko yoyote africa especially strong african nations kama nigeria, south africa, libya. Jaribu kuchunguza kwa karibu kinachoendelea nyuma ya pazia. Utagundua kuna mabepari yana control na kusababisha hayo yote.
Viongozi wa afrika walio wengi wanatumika na hawana power wakifika kwenye kiti cha uongozi. Na hata kama wakiwa na power wanatafuta njia ya kuwatoa
Kwa hiyo mabepari ndio waliounda hicho kikosi katili cha 'SARS' ili kiue na kutesa raia wa Nigeria?
 
Kuna Mambo Ambayo Watu hua wanayafanya na hayana faida Ila hasara tu.

Mfano Nigeria Wanasema Wanaandamana ili kupinga namna Polisi inavyojiendesha

Tena wanaandamana na kuingia Barabaran bila kuwa na Azimio la nini kifanyike ili waweze kusitisha Maandamano

Mfano nikuulize swali waandamanaj wa Nigeria wanataka Nini kifanyike? Kuna mwenye jibu?
Hasara juu ya hasara
Nilichojifunza mimi siku zote ni muhimu kuielewa jamii kwanza kabla ya kuanza kuihukumu, Nigeria wana matatizo mengi sana, kuanzia Udini, Ukanda mpaka Ukabila, na mara nyingi ukiona shida ya maandamano huwa ni kwamba Uongozi uliopo madarakani ni Dini/Kabila/Kanda tofauti na wale wanaoandamana, hapo walioko Madarakani ni Wafulani na Waislamu wanaopinga ni Waibo na Wakristo, hakuna suluhisho rahisi, ni ugomvi wa Kihistoria hata walishapigana Vita ya kujitenga ya Biafra, ...
wana ukabila wale jamaa vibaya mno kuna kabila wanajionaga kama miungu watu
Kwa hiyo hiyo vita wanaenda kumuua nani? Na baada ya kuua wanapata nini kipya?
wafu wapya hamna kingine zaidi ya Tears of the sun
Binadamu wenye akili mbovu ni_____
1.mwarabu
2.mwafrika.
Wakimchukia kiongozi,wanachukia na nchi yao,huwajui uongozi unapita lakni nchi itaendelea kuwepo,binadamu hawahawa wakilikoroga hawawezi kulinywa wanaishia kukimbia.wazungu wao kazi yao nikuvijaza pumzi mgogoro ukikolea jamaaa wanaingia kupiga hela angalia Libya,syria,Iraq hakuna kinachoendelea kiufupi wafrika na waarabu Uhuru hatuuwezi.
badala wamchukie mtu wanaunganisha na nchi
mchi ni nchi mtawala ni mtawala atapita atakuja mwingine.

Nikionaga hivi vitu namkumbuka Muroto alivyosema vipigo vya mbwa koko[emoji23][emoji23]
Bongo uandamane utakua mfano kwa wengine kabla hujafika road umechakaa haya mambo mtaishia kuyaona tu labda KM wasiwepo
 
Kwa hiyo mabepari ndio waliounda hicho kikosi katili cha 'SARS' ili kiue na kutesa raia wa Nigeria?
Fatilia mambo na utafute information and then rudi uni prove right or wrong. Chochote nitakachokujibu utasema nakudanganya
 
Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS.

Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency.

Ila naona Wanaijeria bado wanaandamana wanafanya vurugu na jana jeshi limeingilia na kuua baadhi ya waandamanaji.

Swali langu au nisichoelewa kama waandamanaji walipewa walichotaka kwa nini maandamano yanaendelea wanachotaka ni nini?

Au ni ile laana yetu ya asili kwa ngozi nyeusi ndio inafanya kazi huko?
Siku zote ktk haya mataifa yetu yanakuwa na vi faulty fulani kiasi kwamba kitu kidogo kinaweza kukuzwa
 
Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS.

Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency.

Ila naona Wanaijeria bado wanaandamana wanafanya vurugu na jana jeshi limeingilia na kuua baadhi ya waandamanaji.

Swali langu au nisichoelewa kama waandamanaji walipewa walichotaka kwa nini maandamano yanaendelea wanachotaka ni nini?

Au ni ile laana yetu ya asili kwa ngozi nyeusi ndio inafanya kazi huko?
Serikali ilikosea toka mwanzo, kitu kikianza kuisha ni kazi, ilitakiwa police, jeshi waanze kufanya mazoezi mtaani mara tu waliposikia fununu za maandamano! Wakiona serikali legelege kila siku wanakuja na madai mapya! Dawa ilikuwa ni virungu tu toka mwanzoni!
 
Sio kila nchi ni Tanzania.
 
Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS.

Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency.

Ila naona Wanaijeria bado wanaandamana wanafanya vurugu na jana jeshi limeingilia na kuua baadhi ya waandamanaji.

Swali langu au nisichoelewa kama waandamanaji walipewa walichotaka kwa nini maandamano yanaendelea wanachotaka ni nini?

Au ni ile laana yetu ya asili kwa ngozi nyeusi ndio inafanya kazi huko?
Kwahiyo kwa ngozi yako nyeusi kama kima unaona waandamanaji wa naijeria ni wajinga ila ww ndio mjanja...unaambiwa polisi wao wanawafanyia ukatili waache
 
Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS.

Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency.

Ila naona Wanaijeria bado wanaandamana wanafanya vurugu na jana jeshi limeingilia na kuua baadhi ya waandamanaji.

Swali langu au nisichoelewa kama waandamanaji walipewa walichotaka kwa nini maandamano yanaendelea wanachotaka ni nini?

Au ni ile laana yetu ya asili kwa ngozi nyeusi ndio inafanya kazi huko?
Wewe ndiye mwenye laana. Hujui sababu zao za kuendeleza maandamano, na bado unakuja na ujinga wako. Fuatilia kwanza ujue shida ni nini?.
 
Ngoja niongee nnachokiona....haya maandamano ya Nigeria Ni ya kuyaangalia kwa macho matatu nayaona Kama Yana nguvu ya nje.....Ni hivi SARS wanalalamikiwa kukamata vijana wakikutwa na vitu vya thaman....Kama iPhone,magari expensive ect....wote tunajua majority ya watu wa hivi ni YAHOO BOYS ....Sasa ok serikali ikasikiliza na kuibadili kua SWAT na ili watrain upya....vijana wanaanza choma rasilimali ulitaka serikali ifanye nn...marekani wenyewe walitumia nguvu...mi naona kabisa Kuna nguvu inatumika kuleta machafuko nchi za Afrika Kama ilivyokua uarabuni Hawa watu wachukue rasilimali ......kwenye uelewa kidogo asome #economichitman ......#ARABspring inakuja #afrikanrivers
 
Back
Top Bottom