Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
...mkishaharibu nchi zenu lawama mnawatupia hao mnaowaita 'watu kutoka nje'.Ngoja niongee nnachokiona....haya maandamano ya Nigeria Ni ya kuyaangalia kwa macho matatu nayaona Kama Yana nguvu ya nje.....Ni hivi SARS wanalalamikiwa kukamata vijana wakikutwa na vitu vya thaman....Kama iPhone,magari expensive ect....wote tunajua majority ya watu wa hivi ni YAHOO BOYS ....Sasa ok serikali ikasikiliza na kuibadili kua SWAT na ili watrain upya....vijana wanaanza choma rasilimali ulitaka serikali ifanye nn...marekani wenyewe walitumia nguvu...mi naona kabisa Kuna nguvu inatumika kuleta machafuko nchi za Afrika Kama ilivyokua uarabuni Hawa watu wachukue rasilimali ......kwenye uelewa kidogo asome #economichitman ......#ARABspring inakuja #afrikanrivers
Ila wanapo waletea misaada na kuwasifia mnawaita wahisani na washirika wa maendeleo.
Na raia wa hili bara sababu ya ukosefu wa elimu,umasikini na hali ngumu ya maisha wanaamini kwa urahisi sana hizi propaganda za watawala wao.