Ifike mahala Simba na Yanga zitambuliwe kama sehemu ya urithi wa utamaduni wa Taifa

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
790
Reaction score
1,316
Kama kuna tukio moja kubwa linalowakutanisha watanzania wengi kwa mara moja, basi tukio hilo ni Derby ya Kariakoo.

Hizi klabu mbili zinawaunganisha watanzania nje ya mipaka ya itikadi, dini, kabila, jinsia, rika n.k. My fair assessment is, hizi timu zinamchango mkubwa mno kujenga umoja wa kitaifa.

Ifike mahali tukubali kuwa Simba na Yanga ni zaidi ya mpira, ni alama ya utaifa wetu na nguzo ya umoja wetu.

Kila la kheri wana simba katika kusherehekea Simba day.
 
Hizi klabu klabu mbili zinawaunganisha watanzania nje ya mipaka ya itikadi, dini, kabila, jinsia, rika n.k. My fair assessment is hizi timu zinamchango mkubwa mno kujenga umoja wa kitaifa.

Ifike mahali tukubali kuwa Simba na Yanga ni zaidi ya mpira, ni alama ya utaifa wetu na nguzo ya umoja wetu.

Kila la kheri wana simba katika kusherehekea Simba day.
Yes! Kama alama ya uzwazwa na laana!
Ebu fikiria kwamba mashabiki wale wale watapiga makelele na kuadamana kudai mabadiliko chanya kwenye vilabu vyao na TFF ilhali maujinga yale yale yakifanywa na serikali wanapiga kimya!
 
Tunapozungumzia michezo, hatuwezi kuachana na siasa kidogo?
 
Kwa timu hizi za kijinga ambazo hazijawahi kubeba makombe kimataifa?
Ndiyo maana zinaishia kwenye makundi Tu Kwa hizi sifa mnazowapa zinadumaza Tu soka.
 
Kama kuna tukio moja kubwa linalowakutanisha watanzania wengi kwa mara moja, basi tukio hilo ni Derby ya Kariakoo.

Hizi klabu mbili zinawaunganisha watanzania nje ya mipaka ya itikadi, dini, kabila, jinsia, rika n.k. My fair assessment is, hizi timu zinamchango mkubwa mno kujenga umoja wa kitaifa.

Ifike mahali tukubali kuwa Simba na Yanga ni zaidi ya mpira, ni alama ya utaifa wetu na nguzo ya umoja wetu.

Kila la kheri wana simba katika kusherehekea Simba day.
Ni mla kwa urefu wa kamba gani amesha chungulia fursa mara hii!
 
1.Miaka 90 timu hazina uwanja.
2.Mashabiki wengi wa hizo timu ni Wajinga na wapumbavu.
3. Ni sehemu za upigaji wa fedha, utakatishaji fedha wizi na Rushwa.
4. Migogoro haiishi kila Uchao.
5. Katiba Mbovu, Uongozi mbovu, yale yale ya CCM.

HADI LEO WAMESHINDWA KUWA NA WAWEKEZAJI.
 
Wewe jamaa huoni zuri hata moja kwenye nchi yetu? Ingekuwa tunazungumzia siasa ningeelewa kuwa labda elements za upinzani ndio zinakufanya upinge. Sasa hadi vilabu vyetu vya mpira huvitaki, hii sio hali ya kawaida. Jitathmini
 
Wewe utakuwa una Mapepo sio bure.
Baada ya Kujibu hoja unaangaika na Mimi personal.

Tanzania ina zuri gani hata moja?
Taasisi gani ya kujivunia hata moja ni ipi Tanzania?????????

We kiazi sana aise.
Unajiita Dokta kumbe Famba.
Pumbavu kabisa.
 
Na ww kuwa Doctor kama rahisi, halafu sio Doctor tu, kafanye na specialization ya Internal medicine uwe Physician. Na hakikisha secondary school ulisoma shule za watoto wenye vipaji maalumu kabla ya kuja hapa kueneza chuki zako dhidi ya nchi yetu. Hapo ndio nitajua naongea na mtu wa caliber yangu
 
Nchi yako ina Uchafu kila kona.
Hakuna hata taasisi moja safi.
Nchi inanuka Uvundo kama Dawa zako za Mitishamba.

Dokta wa Mitishamba wa makumbusho unajiita physichian.

Wadanganye mazwazwa wenzio.
Kilaza mkubwa wewe.
 
Simba na Yanga zilihusika katika kudai uhuru na hili linatosha sana
Ila hawa walugaluga wa maporini waliokuja mjini wanataka kulazimisha ziingie kwenye uanaharakati wao uchwara
FIFA inakataza vilabu vya mpira kujihusisha na siasa, zitafungiwa, ila hawa waporipori akili tope hawana ufahamu wowote na kanuni za vilabu vya mpira
 
Back
Top Bottom