Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Huo sindio utani wa jadi wenyewe? Haiondoi ukweli kwamba Simba na Yanga ndio timu mbili zinaufanya mpira wa Tanzania uwe na radha hii uliyonayo.Umoja wa kitaifa upi mkuu? Simba na Yanga zikicheza kimataifa, nusu ya nchi inaombea nyingine ifungwe, very ironical!
Yes! Kama alama ya uzwazwa na laana!Kama kuna tukio moja kubwa linalowakutanisha watanzania wengi kwa mara moja, basi tukio hilo ni Derby ya Kariakoo.
Hizi klabu klabu mbili zinawaunganisha watanzania nje ya mipaka ya itikadi, dini, kabila, jinsia, rika n.k. My fair assessment is hizi timu zinamchango mkubwa mno kujenga umoja wa kitaifa.
Ifike mahali tukubali kuwa Simba na Yanga ni zaidi ya mpira, ni alama ya utaifa wetu na nguzo ya umoja wetu.
Kila la kheri wana simba katika kusherehekea Simba day.
Tunapozungumzia michezo, hatuwezi kuachana na siasa kidogo?Yes! Kama alama ya uzwazwa na laana!
Ebu fikiria kwamba mashabiki wale wale watapiga makelele na kuadamana kudai mabadiliko chanya kwenye vilabu vyao na TFF ilhali maujinga yale yale yakifanywa na serikali wanapiga kimya!
Hizo timuni matawi ya CCM na Serikali.Tunapozungumzia michezo, hatuwezi kuachana na siasa kidogo?
Mtu chake! Acha tuendelee kuzipa support, kuna siku zitatuletea makombe.Kwa timu hizi za kijinga ambazo hazijawahi kubeba makombe kimataifa?
Ndiyo maana zinaishia kwenye makundi Tu Kwa hizi sifa mnazowapa zinadumaza Tu soka.
Ni mla kwa urefu wa kamba gani amesha chungulia fursa mara hii!Kama kuna tukio moja kubwa linalowakutanisha watanzania wengi kwa mara moja, basi tukio hilo ni Derby ya Kariakoo.
Hizi klabu mbili zinawaunganisha watanzania nje ya mipaka ya itikadi, dini, kabila, jinsia, rika n.k. My fair assessment is, hizi timu zinamchango mkubwa mno kujenga umoja wa kitaifa.
Ifike mahali tukubali kuwa Simba na Yanga ni zaidi ya mpira, ni alama ya utaifa wetu na nguzo ya umoja wetu.
Kila la kheri wana simba katika kusherehekea Simba day.
Achana na hiyo kiazi inatafuta kuonekana ni kichwa humuHuo sindio utani wa jadi wenyewe? Haiondoi ukweli kwamba Simba na Yanga ndio timu mbili zinaufanya mpira wa Tanzania uwe na radha hii uliyonayo.
Wewe jamaa huoni zuri hata moja kwenye nchi yetu? Ingekuwa tunazungumzia siasa ningeelewa kuwa labda elements za upinzani ndio zinakufanya upinge. Sasa hadi vilabu vyetu vya mpira huvitaki, hii sio hali ya kawaida. Jitathmini1.Miaka 90 timu hazina uwanja.
2.Mashabiki wengi wa hizo timu ni Wajinga na wapumbavu.
3. Ni sehemu za upigaji wa fedha, utakatishaji fedha wizi na Rushwa.
4. Migogoro haiishi kila Uchao.
5. Katiba Mbovu, Uongozi mbovu, yale yale ya CCM.
HADI LEO WAMESHINDWA KUWA NA WAWEKEZAJI.
Wewe utakuwa una Mapepo sio bure.Wewe jamaa huoni zuri hata moja kwenye nchi yetu? Ingekuwa tunazungumzia siasa ningeelewa kuwa labda elements za upinzani ndio zinakufanya upinge. Sasa hadi vilabu vyetu vya mpira huvitaki, hii sio hali ya kawaida. Jitathmini
Na ww kuwa Doctor kama rahisi, halafu sio Doctor tu, kafanye na specialization ya Internal medicine uwe Physician. Na hakikisha secondary school ulisoma shule za watoto wenye vipaji maalumu kabla ya kuja hapa kueneza chuki zako dhidi ya nchi yetu. Hapo ndio nitajua naongea na mtu wa caliber yanguWewe utakuwa una Mapepo sio bure.
Baada ya Kujibu hoja unaangaika na Mimi personal.
Tanzania ina zuri gani hata moja?
Taasisi gani ya kujivunia hata moja ni ipi Tanzania?????????
We kiazi sana aise.
Unajiita Dokta kumbe Famba.
Pumbavu kabisa.
Coz hizi Team zimetumika zaidi kuwaumiza mashabiki wengine kisiasa.Tunapozungumzia michezo, hatuwezi kuachana na siasa kidogo?
Nchi yako ina Uchafu kila kona.Na ww kuwa Doctor kama rahisi, halafu sio Doctor tu, kafanye na specialization ya Internal medicine uwe Physician. Na hakikisha secondary school ulisoma shule za watoto wenye vipaji maalumu kabla ya kuja hapa kueneza chuki zako dhidi ya nchi yetu. Hapo ndio nitajua naongea na mtu wa caliber yangu