Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Naona kuna baadhi ya mashabiki ambao wao chuki na husda ndiyo wameviweka mbele, badala ya kuangalia mambo ya kuujua mpira. Hata kama unaichukia timu fulani kwa sababu zako lakini ukweli unabaki kuwa ukweli na hauwezi kubadilika.
Yanga kampiga Singida goli 4 lakini kuna wale watu wa umbumbuni bado wanaendelea kuamini kuwa kila Yanga anaposhinda basi katoa bahasha. Lakini wakati huo huo, wao walicheza na Mtibwa ambayo wachezaji wao wawili walilimwa kadi nyekundu na wakajipigia goli 5, hiyo kwao haikuwa bahasha.
Ni muhimu ukubali au ukatae Yanga ya sasa ni ya moto. Singida waliingia kwa kujiamini sana, kwamba wanaweza kucheza mpira na kupishana na Yanga kutokana na aina ya wachezaji waliyonao, kiufupi awakuiheshimu Yanga!
Ni ngumu sana kwa timu yoyote kwa sasa kutaka kupishana na Yanga uwanjani, kwa ubora waliyonao kwa sasa yanaweza yakawa maafa mengine.
Unapocheza na Yanga hii unatakiwa upaki kwanza basi, huku ukifanya 'counter attack'. Hapo unaweza ukaambulia angalau sare, vinginevyo yatakukuta ya Singida Big Stars au zaidi ya hapo. Ukatae ndiyo hivyo, ukubali ndiyo hivyo!
Yanga kwa sasa wanayo timu bora na wachezaji bora, kiufupi muunganiko wao ni tishio na wataendelea kuwa tishio, na habari za bahasha zitaendelea kusemwa mpaka mate yatawakauka midomoni.
Maana timu yako ilisajili kina Kibu Denis, John Boko, Erasto Nyoni, Okwa, Akpan lakini wenzako wakasajili kina Mayele, Bangala, Feisal, Aziz Ki, Sure Boy na bado unataka upate matokeo sawa sawa na wenzako, utakuwa na akili timamu kweli?
Kila timu inavuna ilichopanda, uwezi kupanda bangi ukavuna mahindi huo ni utahaira, kila mtu atakula alikopeleka mboga!